Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Ni baraka kwa Taifa letu kuwa chini ya uongozi wa CCM. Ndio maana Taifa linaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu.Kutawaliwa na ccm ni laaana tosha,!!! Tushakubali sisi hizo laana
Huyo ni balozi.Jumuiya ya wakatoliki waishio Vatican, mapadri... mlezi wao awe hassan iddi, mkazi wa Ujerumani; si maajabu hayo?
Mnaruhusiwa kuombewa/kufanyiwa dua na makafiri?Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Hilo limeniacha na maswali sana. Nikadhani mods wanafuta comments zingineWana comment chawa watupu..!!
Akikujibu nitagMnaruhusiwa kuombewa/kufanyiwa dua na makafiri?
Najuwa mnaumia sana mnapoona Mheshimiwa Rais Anaendelea kupendwa,kukubalika na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.Hilo limeniacha na maswali sana. Nikadhani mods wanafuta comments zingine
Mkuu ka foto kanamisi. Katoliki ibaada huwa kawaidaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania wakatoliki walioko huko VATICAN. Ambapo ni ibada maalumu ya kufunga mwaka wa masomo VATICAN.
Jumuiya hiyo ya kikatoliki inaundwa na Watumishi wa Mungu wapatao 302, Wakiwemo Mapadre,Mashemasi,Watawa na Mafrateri. Ambao wanapata Elimu katika vyuo vikuu vya VATICAN.
Ibada hiyo maalumu iliambatana na hafla ya kuwaaga na kuwakaribisha wanafunzi wengine kutoka Tanzania. Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na Mheshimiwa Hassan Iddi Mwamweta ambaye ni mlezi wa jumuiya hiyo na mwenye makazi yake Nchini Ujerumani.
Pia alikuwepo Balozi Mahmoud Kombo Balozi wa Tanzania Nchini Italia. Itakumbukwa pia ya kuwa mnamo Tarehe 12-2-2024 Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipofanya ziara ya kikazi kwa mualiko maalum wa papa Fransis VATICAN aliweza kuonana na jumuiya hii na Diaspora wengine na kufanya nao mazungumzo.
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Kilichoinuliwa na Mungu ni lazima kiombewe nguvu ya ulinzi kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyemuinua kwa mkono wake .ndio maana watu wanaendelea kumuombea dua njema ndani na nje ya nchi.kwa kuwa wanaona kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu mpendwa kwa uzalendo na hofu ya Mungu ndani yake. Ndio maana amekuwa kipenzi cha viongozi mbalimbali wa Dini na madhehebu yote hapa Nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naomba ieleweke, muhula alio Samia Suluhu siyo wa kwanza. Anamshikia mwendazake kama katiba inavyosema. Muhula wake utaanza 2025. Tukifuata katiba mama anaweza kuwa rais aliyekaa madarakani muda mrefu kwa Tanzania baada ya Nyerere. Haki huinua taifa. Nawasilisha.
Hata afanyiwe na huko Maka haisaidii kitu huku akiendelea kukoboa wake za watuNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania wakatoliki walioko huko VATICAN. Ambapo ni ibada maalumu ya kufunga mwaka wa masomo VATICAN.
Jumuiya hiyo ya kikatoliki inaundwa na Watumishi wa Mungu wapatao 302, Wakiwemo Mapadre,Mashemasi,Watawa na Mafrateri. Ambao wanapata Elimu katika vyuo vikuu vya VATICAN.
Ibada hiyo maalumu iliambatana na hafla ya kuwaaga na kuwakaribisha wanafunzi wengine kutoka Tanzania. Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na Mheshimiwa Hassan Iddi Mwamweta ambaye ni mlezi wa jumuiya hiyo na mwenye makazi yake Nchini Ujerumani.
Pia alikuwepo Balozi Mahmoud Kombo Balozi wa Tanzania Nchini Italia. Itakumbukwa pia ya kuwa mnamo Tarehe 12-2-2024 Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipofanya ziara ya kikazi kwa mualiko maalum wa papa Fransis VATICAN aliweza kuonana na jumuiya hii na Diaspora wengine na kufanya nao mazungumzo.
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Kilichoinuliwa na Mungu ni lazima kiombewe nguvu ya ulinzi kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyemuinua kwa mkono wake .ndio maana watu wanaendelea kumuombea dua njema ndani na nje ya nchi.kwa kuwa wanaona kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu mpendwa kwa uzalendo na hofu ya Mungu ndani yake. Ndio maana amekuwa kipenzi cha viongozi mbalimbali wa Dini na madhehebu yote hapa Nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Makafr Ndiyo Wamemfanyia Ibada Basi Yana Nguvu Sanacc: FaizaFoxy na Malaria 2
Lucas ni mpotoshaji sana sijui kwa nini moderators wanamfumbia machoMama hakufanyiwa Ibada Maalumu. Umepotosha. Haikuwa Ibada kwa Mama, ila aliombewa katika Ibada ya kuagwa kwa wanafunzi. Pia, Wanafunzi husika hawakai Vatican. Wanafunzi wanakaa Italy. Tunao utaratibu wa kumwombea, wala si mara ya kwanza. Wewe haukuwepo, umepewa habari na watu wa Ubalozi ama rafiki zako walioshiriki. Wahusika wanafunzi walitangaza lengo la Ibada yao. Mfano, kwenye ibada, kama una record kamili, Walianza kuombewa viongozi wa Kanisa, na baada ya hierakia yao, aliombewa Rais, na mwisho wakaombewa Marehemu kama hitimisho la sala ya Maombi. Je, akijitokeza mtu kuandika "Wafanya Ibada Maalumu kuombea Marehemu", atawasilisha ujumbe wa Ibada husika?
Usipike habari zisizo na ukweli kutafuta umaarufu wa kisiasa. Rais ni wetu, tunamwombea kila jumapili. Na kama ni tukio Rasmi, tunatangaza. Jana HAKUKUWA NA IBADA RASMI YA KUMWOMBEA RAIS. Kulikuwa na Ibada rasmi ya Kuwaombea na kuwaaga wanafunzi wahitimu, na kumwombea Fr mmoja Mjubilei, tena Mwandishi mbobezi wa kimataifa, (ataandika habari yake na itabeba hadi voice note ya mabalozi wote, ndipo ulinganishe na habari zako). Katika Ibada husika, waliombewa Viongozi wa Kanisa, Serikali na Raia, na Marehemu wote.
Political popularity shouldn't sell fake news at the cost of others.
Jamii forums na Jamii check yao walipaswa kuchuja habari yako. The first souce of information was the celebrant of the religious service. Basing on second hand from a mere participant who lacks the clues of the event would easily aid you buying cheap likes.
Swali rahisi tu, Unajua tofauti ya Italy na Vatican, mambo gani ni ya pamoja ama ya tofauti kati yao, hadi uje useme Wanafunzi waishio Vatican?
Hutakuwa na ukweli kuliko wahusika. Hata ukimwuliza Balozi Kombo aliyepo hapa Italy, yule baba mkweli sana, ataona habari yako ni uwongo.
Itakuwa sijui... Hebu weka kipengele kinachosema Samia hawezi kuanza miaka yake 10 baada ya kumaliza hii 'deiwaka' ya mwendazakeMkuu, kama hujui katiba inasemaje bora usingecomment.
Katiba iko wazi kwenye hili .... unless anataka kujiongezea muda.
Mkuu Simu yako iliibiwa,mbona huweki tena tukurushie hela ya bundle😀😀Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania wakatoliki walioko huko VATICAN. Ambapo ni ibada maalumu ya kufunga mwaka wa masomo VATICAN.
Jumuiya hiyo ya kikatoliki inaundwa na Watumishi wa Mungu wapatao 302, Wakiwemo Mapadre,Mashemasi,Watawa na Mafrateri. Ambao wanapata Elimu katika vyuo vikuu vya VATICAN.
Ibada hiyo maalumu iliambatana na hafla ya kuwaaga na kuwakaribisha wanafunzi wengine kutoka Tanzania. Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na Mheshimiwa Hassan Iddi Mwamweta ambaye ni mlezi wa jumuiya hiyo na mwenye makazi yake Nchini Ujerumani.
Pia alikuwepo Balozi Mahmoud Kombo Balozi wa Tanzania Nchini Italia. Itakumbukwa pia ya kuwa mnamo Tarehe 12-2-2024 Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipofanya ziara ya kikazi kwa mualiko maalum wa papa Fransis VATICAN aliweza kuonana na jumuiya hii na Diaspora wengine na kufanya nao mazungumzo.
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Kilichoinuliwa na Mungu ni lazima kiombewe nguvu ya ulinzi kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyemuinua kwa mkono wake .ndio maana watu wanaendelea kumuombea dua njema ndani na nje ya nchi.kwa kuwa wanaona kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu mpendwa kwa uzalendo na hofu ya Mungu ndani yake. Ndio maana amekuwa kipenzi cha viongozi mbalimbali wa Dini na madhehebu yote hapa Nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sisi wakatoliki tunaombeaga yeyote mwenye matatizo. Hatubagui.Ndugu zangu Watanzania,

Usajili wa kanisa au nguzo za kanisa ktk katiba yao ni zipi?Sisi wakatoliki tunaombeaga yeyote mwenye matatizo. Hatubagui.
Katiba yenu wakatoliki mliyopeleka kwa msajili inasemaje?Itakuwa wameona namna anavyopuyanga wakaamua wamuombee ili asiendelee kuharibu Nchi yetu.
Kwa mujibu wako wewe chawa! Ila kwa mujibu wa wananchi wengi tunachagua upinzani! Ccm tumewachoka!Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mpaka 2030.