ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Katiba imemruhusu kufanya vile kuanzia kwa Chama mpaka kwa Nchi !Kama anajiamini kiasi hicho ,kwanini amevuruga mchakato wa kuteua mgombea urais ndani ya chama chake na kujipendekeza mwenyewe?
Ndio linaondoka hivyo taratibu !Wayahudi hawakutaka kabisa kuhesabu wanawake na watoto, makabila yetu mengi wanaonwa kwa namna tofauti, dini zetu zingine zinawatenga kabisa wanawake. Hili jambo limetoka mbali mno, haliwezi kuondoka kirahisi.
Kifuani kwake kuna mengi hayasemi,Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.
Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;
"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"
"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"
Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia
Ukoo wangu unaujua vzur kweli wew mende?!We mbwa mamako ndiyo bure kabisa ndiyo maana uko hivyo. Huyo ni level nyingine ht miaka 100 ijayo hakuna ktk ukoo wako hakuna atakayekaribia hiyo nafasi yake
Halafu ndiyo mgombea pekee huko tanganyika wa urais. Sasa sijui hiyo ndondokela gani unaongelea.Sasa kwani yeye huyo mwanamke si ni kwa dondokela tu akawa?! Ama lini alikuwa hapo alipo kwa uwezo wake?
Toka nchi hii imepata uhuru, lini kulikuwa na tume huru ya uçhaguzi? Kwanini mnata Samia ndo awe na tume tofauti na Marais wote waliopita? Huo ndio utaratibu wa tanganyika msimuonee mzanzibar.Wanamdanganya au anajidanganya mwenyewe ??
Smartfone Hana aingie ground aone watu wanavyotema nyongo na wasivyomtaka!!
Ukweli mchungu ni kwamba Tanzania haijafikia level za kuongozwa na mwanamke!!
Nchi iliyojaa watu wajanja wajanja haiwezi kuongozwa na mwanamke kamwe mfano ni Marekani tu hapo unaona wanavyokwepa huo mtego!!
Samia Kama anajiamini alete tume huru na katiba mpya alafu aende ground kutafuta urais akiupata aniite mbwa!!!
Hukulazimishwa kusoma nilichoandika, ukweli unauma ndio maana nyumbu wewe unaugulia. 😲Huu upupu kawaandikie nyumbu wenzako
Ndo kujiamini kwenyewe hukoKama anajiamini kiasi hicho ,kwanini amevuruga mchakato wa kuteua mgombea urais ndani ya chama chake na kujipendekeza mwenyewe?
Kumbe ndio maana waliamua kumpitisha juu kwa juu kuwa mgombea! Inaonekana kuna wahafidhina walikuwa wamejipanga kumuangusha Mama. Lakini hawaachi kusema kinafiki "Mitano tena kwa Mama"Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.
Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;
"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"
"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"
Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia
Wanaume waliomzunguka ndio wanatawala nchi sio yeye!! Anajilisha upepo tu, wenyewe wakina Kikwete wanamuamlisha mpaka kuteua watoto wao kwenye cabinet ingawa hawana uwezo!Anaona kila kitu kipo sawa wanamdangana sana wasaidizi Wake
Nyani haoni.....ndugu yangu. Yeye anaona kila kitu kinaenda sawa tu.
Kizazi kikorofiNdio linaondoka hivyo taratibu !
Hata Wayahudi wameongozwa na Mwanamke zaidi ya miaka kumi na mpaka amepiganisha vita vya waarabu na Israël vya mwaka 1967 !
Na akawa anasifiwa kwa kuitwa “ The Iron Lady “ 😳!
Margareth Thatcher naye huko Uingereza aliwaburuta wanaume kwa zaidi ya miaka 10 akiwa ni Waziri Mkuu !!
Akawa anaitwa ni Mwanamke wa shoka !
Mambo yanabadilika Ndugu !
Zamani huwezi kuona vijana wanatukana Wazee maana ilikuwa inaaminika kuwa ile ni laana kufanya vile , lakini kwa sasa kutukana Wazee inaitwa ni propaganda ya Chama ili kiendelee kuaminika na kuogopewa 😳🙄😱 !
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao wa kule Misri !
Dunia rangilangire 😳🙄!
Sumu haijaribiwi kwa kuonjwa hata siku moja! Kule kwa jirani hawaelewi ni kimbunga au ni kitu gani kimeng'oa mwamba wa Nshara. Moyo wa mtu ni kichaka cha aina yake. Ile ilikuwa ni trial of democracy!Wanamdanganya au anajidanganya mwenyewe ??
Smartfone Hana aingie ground aone watu wanavyotema nyongo na wasivyomtaka!!
Ukweli mchungu ni kwamba Tanzania haijafikia level za kuongozwa na mwanamke!!
Nchi iliyojaa watu wajanja wajanja haiwezi kuongozwa na mwanamke kamwe mfano ni Marekani tu hapo unaona wanavyokwepa huo mtego!!
Samia Kama anajiamini alete tume huru na katiba mpya alafu aende ground kutafuta urais akiupata aniite mbwa!!!
NAUNGA MKONO HOJA..Watanganyika mnachokitafuta mtakipata, kiko jikoni chungu chungu cha dawa na inawahusu hadi mpone maradhi mlonayo
Iko vile na wanajua kabisa bila chembe ya shaka kwamba Mwenyekiti wa Chama ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi na ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote Nchini hakuna namna wao ndani ya Chama wanaweza kumbabaisha au kumtingisha 😅😅🤣🤣 !!Kumbe ndio maana waliamua kumpitisha juu kwa juu kuwa mgombea! Inaonekana kuna wahafidhina walikuwa wamejipanga kumuangusha Mama. Lakini hawaachi kusema kinafiki "Mitano tena kwa Mama"
Sasa haya yanatusaidia nini?Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.