ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Katiba imemruhusu kufanya vile kuanzia kwa Chama mpaka kwa Nchi !Kama anajiamini kiasi hicho ,kwanini amevuruga mchakato wa kuteua mgombea urais ndani ya chama chake na kujipendekeza mwenyewe?
Hata watakao kuja baada yake watafanya kama hivyo na hata zaidi ya hivyo !!
Katika maisha kila mtu anapendelea apate heshima na favour kwa baadhi ya mambo !
Kama kuna nafasi na ruhusa ya kuvipata vitu hivyo hakuna atakaye chagua kwenye ugumu wa kuvipata bali atachagua kwenye urahisi wa kuvipata !
Katiba mpya bora ni muhimu 🙏 !