benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.