Rais Samia ahani msiba wa Lemutuz, afika kutoa pole kwa Waziri Mkuu Mstaafu Malecela

Huna macho?
Viti kama hivyo mawaziri wote wakuu wa sasa na wa zamani wanavyo hadi majumbani kwao

Malecela waziri mkuu mstaafu anacho kaamua ampishe Raisi akalie

Pia kila mkoa kuna ikulu ndogo viti hivyo vipo sio kuwa husafiri navyo

Tatizo Chadema hamjui.mambo mengi ya nchi nfio maana sio.rahisi mkapewa nchi

Ikulu sio sehemu ya kufanyia mazoezi ya Uraisi kuwa utajulia hukohuko ukishapewa
 
Yule DHALIMU wa Chato kama angekuwa hai asingekwenda kwa Malecela kuhani msiba. Naona aliichukia sana familia ya Malecela na wanae.

Kumbuka namna alivyomtumbua marehemu Mwele aliyekuwa DG wa NIMR. Pia akamstaafisha Jaji Mwendwa Malecela ambaye ni mgonjwa kabla ya umri wa kustaafu
Uliwahi kumsikia Tundu Lisu juu ya Huyu Jaji unayedai alistaafishwa.
La pili mimi nikipishana kauli na wewe au nduguyo nitakuwa nimepishana na familia nzima.
 
Naona aibu kusoma utumbo huu, sasa mtu ni mgonjwa aendelee kua madarakani for what? Wewe baba yako anaenda kila msiba?
 
Na mimi nimejiuliza hivyo, kwamba viti vya Mzee Malecela ni vichafu hadi aende na viti vyake?
Je kuna mchezo huwa wanacheza na yeye ni miongoni mwa hao hivyo anahofia?
Je huko nyuma ya pazia maji yamekorogeka hadi awe hivi?
Unadhani Rais ni mwenyekiti wa mtaa? acheni ujinga
 
Uliwahi kumsikia Tundu Lisu juu ya Huyu Jaji unayedai alistaafishwa.
La pili mimi nikipishana kauli na wewe au nduguyo nitakuwa nimepishana na familia nzima.
Lissu ndiyo nani kwenye judicial system ya Tanzania?
 
Naona aibu kusoma utumbo huu, sasa mtu ni mgonjwa aendelee kua madarakani for what? Wewe baba yako anaenda kila msiba?
Mfugale alikuwa amepata kiharusi (mild stroke) na alikuwa amefikia retirement lakini aliendelea kuwa CEO wa TANROADS hadi anakufa. Hapa naongelea double standards tu. Rafiki zake aliacha wawe Serikalini ili wafaidi nafuu ya matibabu ya serikali. Lakini wengine akashinikiza wastaafu.

Unaona nilichoandika ni utumbo kwa kuwa uko less informed
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.

Anna Kilango amekuwa mzee kuliko Malecela!!!
 
Mfugale alikuwa amepata kiharusi (mild stroke) na alikuwa amefikia retirement lakini aliendelea kuwa CEO wa TANROADS hadi anakufa. Hapa naongelea double standards tu. Rafiki zake aliacha wawe Serikalini ili wafaidi nafuu ya matibabu ya serikali. Lakini wengine akashinikiza wastaafu.

Unaona nilichoandika ni utumbo kwa kuwa uko less informed
Unaweza tupa reference ya cases alizoamua toka alipoteuliwa kuwa Jaji na kazi alizoamua Mfugale na hiya Mild stroke yake .na ni miaka mingapi alikaa na hiya Mild Stroke Jaji Offisini na Mild Trike ya Mfugale hapo Tabroads
 
Issue ni kuugua ukiwa kazini na siyo kazi ngapi umefanya ukiwa mgonjwa. Hatutaki DOUBLE standards na ndiyo ulikuwa udhaifu mkubwa wa Magufuli. Kumbuka hata vyeti feki. Aliwatoa vyeti feki lakini akawaacha akina Makonda, Kabudi, Kigwangalla, Mwigulu na yeye mwenyewe akiwa na PhD Feki.

Au kuwabomolea wanachi wa Kimara- Kibamba nyumba huku akiacha nyumba za wakazi wa Mwanza.

Haya ndiyo yalimchukiza Mungu hadi akaamua kuitoa roho ya Magufuli na kupeleka jehanam
 
Aliugua kabla ya kuteuliwa au baada ya kuteuliwa
 
Back
Top Bottom