Ni Jambo jema, ila asiushie tuu Kuhani msiba, bali asikilize wosia huu wa Le Mutuz Super Brand na kumuishi Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.
Pascal huna chama? Au nimesikia vibaya?Ni Jambo jema, ila asiushie tuu Kuhani msiba, bali asikilize wosia huu wa Le Mutuz Super Brand na kumuishi Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi
P
Huyo ni ndumilakuwili!Pascal huna chama? Au nimesikia vibaya?
Yule DHALIMU wa Chato kama angekuwa hai asingekwenda kwa Malecela kuhani msiba. Naona aliichukia sana familia ya Malecela na wanae.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela...
Kuna Watu si tu ni Wapumbavu bali mnaugua hata na Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ila hamjijui tu.Yule DHALIMU wa Chato kama angekuwa hai asingekwenda kwa Malecela kuhani msiba. Naona aliichukia sana familia ya Malecela na wanae. Kumbuka namna alivyomtumbua marehemu Mwele aliyekuwa DG wa NIMR. Pia akamstaafisha Jaji Mwendwa Malecela ambaye ni mgonjwa kabla ya umri wa kustaafu
Hata mimi nimekuwa najiuliza hilo. Pamoja na picha yake.Ni lazima popote aendapo awe na kiti kutoka ikulu?
Unataka ategemee Viti vyenu vyenye Sumu yawe mengine kama mlivyofanya kwa Wengine kwa kuwapa Mic zenye Kitu cha Kirusi (Russia) pale Morogoro na leo tunamlilia tu?Ni lazima popote aendapo awe na kiti kutoka ikulu?
Hao wamelipwa mkuu .Kuna Watu si tu ni Wapumbavu bali mnaugua hata na Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ila hamjijui tu.
Una ushahidi?Ni lazima popote aendapo awe na kiti kutoka ikulu?
Huna macho?Una ushahidi?
we unajua unachoumwa?Kuna Watu si tu ni Wapumbavu bali mnaugua hata na Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ila hamjijui tu.
kasome zaidi kupunguza huo ujinga wako?