Rais Samia ahitimisha ziara ya siku 3 nchini Zambia

Rais Samia ahitimisha ziara ya siku 3 nchini Zambia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akiagwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kenneth Kaunda Nchini Zambia na Rais wa Nchi hiyo Mhe, Hakainde Hichilema mara baada ya kuhitimisha Ziara ya Siku tatu ya kimataifa Nchini humo.
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.06.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.05.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.03.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.02 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.02.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-25 at 19.48.01 (1).jpeg
 
Ni jambo la kheri kuwa na mahusiano mema na yenye tija na Majirani zako. Hongera Mama!
 
Hiyo ndege imemkaa vizuri utafikiri rais wa marekani, safi sana heshima ya nchi imerudi,
 
Welcome Home Madame President Samia Suluhu Hassan
Home Sweet Home!! Tunapomkea Aje Atufanyizie Kazi
 
Back
Top Bottom