Rais Samia ahitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais Dkt. Samia alishiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).

1770370943994.png

1770371016629.png

1770371042541.png
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais Dkt. Samia alishiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).

Vipi hawajatupa msaada?
 
Unamkaribisha Muuaji halafu unajinasibu na Mungu! Labda Mungu Bin Shetani!
 
Walisema hatatoka nje ya Tanzania kisa yale mauaji, leo amerudi kutoka huko Uarabuni.

Muuaji anachagua maeneo ya kwenda. Hakuna muuaji akosaye marafiki. Yaani unategemea atashindwa kwenda Dubai au Oman, wakati ndiye wakala wao wa kupora rasilimali za Tanganyika?
 
Nyumbu zinaumia kweli
Ilikuwa ohh kajificha, katua vijijini, sijui mbona hakuna gwaride
Upumbavu mtupu,
Walugaluga tabu tupu mrudi tu huko maporini mlikotoka
 
Muuaji anachagua maeneo ya kwenda. Hakuna muuaji akosaye marafiki. Yaani unategemea atashindwa kwenda Dubai au Oman, wakati ndiye wakala wao wa kupora rasilimali za Tanganyika?
Atakapokwenda Ulaya utakuja na maongezi mengine, huwa hamshindwi kutanua magoli.

Hayakuwa mauaji ya kawaida, hayakujirudia tena desemba 9 na 25, lazima mjifunze kuwa chini ya mamlaka, mkishindwa mtalazimishwa.
 
Back
Top Bottom