Vipi hawajatupa msaada?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais Dkt. Samia alishiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Ufugaji wa ndevu ni miongoni mwa utamaduni wa waarabu hususan wa nchi ya falme ya kiarabu, ni nadra sana kumkuta muimarati clean shaved.Nahisi ili uajiriwe upolisi ndevu ni must
Walisema hatatoka nje ya Tanzania kisa yale mauaji, leo amerudi kutoka huko Uarabuni.@britanica
Njoo tena utuambie kuwa anatua kwa siri tanzania!
Uchwara tupu
Jua likiteremka tutaungua.Jua lile litelemke mama, jua lile litelemke mama
Hiviii, hilo dege, lilimpeleka, kisha likamsubiri mpaka siku ya kuondoka huko?Walisema hatatoka nje ya Tanzania kisa yale mauaji, leo amerudi kutoka huko Uarabuni.
Walisema hatatoka nje ya Tanzania kisa yale mauaji, leo amerudi kutoka huko Uarabuni.
Atakapokwenda Ulaya utakuja na maongezi mengine, huwa hamshindwi kutanua magoli.Muuaji anachagua maeneo ya kwenda. Hakuna muuaji akosaye marafiki. Yaani unategemea atashindwa kwenda Dubai au Oman, wakati ndiye wakala wao wa kupora rasilimali za Tanganyika?
Itakuwa hivyo, linaipeleka Yanga na Simba Algeria linawasubiri huko mpaka mechi inamalizika.Hiviii, hilo dege, lilimpeleka, kisha likamsubiri mpaka siku ya kuondoka huko?
😬😁😀😆Litaunguza wauaji, liporomokeJua likiteremka tutaungua.