Pre GE2025 Rais Samia aibua shangwe na Nderemo kwa mashabiki wa Simba baada ya kupiga Simu moja kwa moja uwanja Wa Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye amepiga simu kwa katibu Mkuu wa wizara ya sanaa na utamaduni Mheshimiwa Msigwa.

Ikumbukwe Mheshimiwa Rais yupo ziarani mkoani Morogoro na kutumia muda huu wa mapumziko ya jioni kufuatilia Siku hii ya Wenye Nchi yaani Simba Day.

Pia soma:
Kwa hakika Rais Samia anapendwa haijapata kutokea hapa nchini.hakuna kama Samia na hakuna mwenye kumfikia katika ushawishi na kupendwa na watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bro salama? Vipi hiyo simu haijakufanya ububujikwe na machozi?
 
Mashabiki wakabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia sauti ya mama samia.
 
Wajinga ndio waliwao!! Aliyerudi nyumbani Leo ,akiwa na chochote mfukono akitokea kwenye hiyo sherehe tukutane
 
Wewe nawe zwazwa tu na u CCM wako..Eeh.nini faida ya hilo kwa maisha magumu ya wananchi waliyo nayo mpaka utuletee hapa?Halafu unaanza na eti ..Ndugu zangu..!!!??@#%÷
Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi na acha kushinda kwenye vibaraza kupiga umbeya na ushakunoko wako. Maisha mazuri yataletwa na juhudi za mikono yako ,kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma sana.
 
Mashabiki wakabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia sauti ya mama samia.
Watu wamejaa raha tupu kwa sasa baada ya kusikia sauti ya mama yao mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akizungumza nao. Kwa hakika amekata kiu ya wana simba maana wengi nimeona walikuwa na kiu na hamu kubwa sana ya kumsikia Mama yao siku ya leo.
 
Back
Top Bottom