Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

kukata bima ni uoga wa maisha huo 🤪.

wewe hapo ulipo unajua utaugua lini na utaugua nini ?

kwa maana nyingine huo ni kama uchuro maana kama utakua unalipa bima kila mwaka halafu hujawahi kuumwa utaanza kuomba Mungu uumwe ili ufaidi hela zako ampapo mimi naona huo ni wendawazimu haki ya nani 🙌
 
Wazee hii sheria nilikuwa Sijaisoma ni ngumu sana...
Watu watafungwa sana...Naanza kukumbuka miaka ya 80 na 90 mwanzoni kodi ya Kichwa...
So sad isome vizuri..
Soma Kifungu cha 37 ,38 na 39...

Kwakuwa ni lazima Hakuna mtu hatatakiwa kutojiunga na usipojiunga utakamatwa na utalipa faini si chini ya laki sita na Utalipa Riba ya 10%
sumpa jingalao Sir John Roberts 👆
 
Wazee hii sheria nilikuwa Sijaisoma ni ngumu sana...
Watu watafungwa sana...Naanza kukumbuka miaka ya 80 na 90 mwanzoni kodi ya Kichwa...
So sad isome vizuri..
Soma Kifungu cha 37 ,38 na 39...

Kwakuwa ni lazima Hakuna mtu hatatakiwa kutojiunga na usipojiunga utakamatwa na utalipa faini si chini ya laki sita na Utalipa Riba ya 10%
Majobless Sasa wanafanya Je, Wana CCM Ambao ni masiki wa kutupwa je
 
kukata bima ni uoga wa maisha huo 🤪.

wewe hapo ulipo unajua utaugua lini na utaugua nini ?

kwa maana nyingine huo ni kama uchuro maana kama utakua unalipa bima kila mwaka halafu hujawahi kuumwa utaanza kuomba Mungu uumwe ili ufaidi hela zako ampapo mimi naona huo ni wendawazimu haki ya nani 🙌
Kuish kote sijawahi kutana na mtu mwenye mawazo finyu kama yako,

Niny ndio mkiumwa huanza kusumbua ndugu kwa simu kibao
 
Serikali imejikita kwenye kuangalia michango itakayopatikan badala ya huduma itakayotolewa!! Inalazimika vitu ambavyo haitaweza kuhimili! Kama ishasema kina mama wajawazito wahudumie Bure wakati wa kujifungua hawajaweza hata Kwa Mama mmoja sembuse maskini wote ambao ni karibia robo 3 ya wananchi wote?
 
Kuish kote sijawahi kutana na mtu mwenye mawazo finyu kama yako,

Niny ndio mkiumwa huanza kusumbua ndugu kwa simu kibao
wewe unajuaje nitaugua ?

nyie ndio wajinga mnakalia kuwaza ujinga maana hujui nina umri gani ni nimeungua nini na mara ngapi.

unadhani bima itakufanya uishi miaka mia au mnajazana ujinga kichwani tu ?
 
Duniani kote labda Tanzania tu, hakuna mtu angeweza kuwaruhusu NHIF kutengeneza new strategic plan (which includes changes to insurance packages) kabla ya kuona internal control issues raised by the external auditor are mitigated.

Financial risks associated with fraud zina huge implications kwenye kuamua bei za huduma in insurance coverage; taasisi inayopeteza hundred of billions in insurance coverage auditor anakueleza before you allow the management to come up with any new nonsense kitu number moja ni kutaka kuelewa wana mbinu gani za kupambana na audit concerns in terms of internal control.

Kwenda kubadili new cover plans and funding bila ya management kujibu hoja za auditor; kiasi cha huo upuuzi in finance perspective ni sawa na kununua bidhaa kwa shillingi 2000 na kuuza kwa 500.

The plan will never work financially.

Nchi ya hovyo sijapata kuona. Hizo bei Moyà za coverage will not balance books or put NHIF in profits, without addressing the CAG internal control issues which leads to billions of leakages in insurance fraud.
 
Kwanini utungaji sheria nchini sio shirikishi? Anaibuka tu kiongozi mmoja anapeleka mswada bungeni kisha kile kinachodaiwa kuwa maoni ya wananchi kwenye rasimu ni geresha tu maana maoni hayazingatiwi sheria inapitishwa na kuanza kutumika dhidi ya watanzania!

Kwanini serikali isirudishe mamlaka kwa wananchi wao ndio wawe chanzo cha kutungwa sheria kuhusiana na jambo lililo kwenye jamii husika?

Kwanini serikali isifanye kwanza utafiti wa jambo linalohitaji kudhibitiwa kisheria au kikanuni ndipo mapendekezo yapelekwe kwa wananchi kabla ya kuandika mswada?
 
Habari za muda huu.

Naomba kuelimishwa kuhusu suala la BIMA. Hakuna sheria/ kanuni inayosema ni haki ya kila mtanzania (wa chini, wa kati na yule wa juu) kupatiwa BIMA kama ni moja ya haki zake za kiraia?
 
Hongera Sana mhe.Rais kwa kuonesha njia bora za namna ya kujiunga na BIMA Ya afya kwa wote
 
Back
Top Bottom