RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.