Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyovyote itakavyokua kua,Ametoa kutoka wapi? Inamaana serikali kwa sasa haina pesa inategemea pesa za Samia?
RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.

vyovyote itakavyokua kua,
Maendeleo ni kipaumbele namba moja cha Rais na kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.
Serikali sikivu ya CCM anayoiongoza inafanya kila jitihada kwa gharama yoyote ile ili wananchi wapate huduma muhimu za kijamii kisiasa na kiuchumi kwenye maeneo yao. Hakuna mbambamba yoyote kwenye hilo 🐒
RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.
Maendeleo hayana script, ni Lazima ya mnufaishe kila mwanainchi kwa usawa na haki gentleman, hiyo ndiyo muhimu zaidi 🐒Hivi uwa mnaandikiwa script ? Haha
Naona wote mnaandika Kwa mtiriliko ule ule
Wewe, juma juma Lucas wooote mnaandika mfumo ule ule
Tunaomba CV ya rais wetu. Hizi fedha anazozitoa ana utajiri kiwango gani?RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.
Mikopo! Nani alimwambia wananchi wanahitaji kuwagiwa fedha za mikopo, bila ujuzi?Tunaomba CV ya rais wetu. Hizi fedha anazozitoa ana utajiri kiwango gani?
Au mnafanya upumbavu wa kummilikisha nchi ili ionekane kila bajeti iliyopitishwa Bungeni inahusu mfuko wake binafsi?
Mshahara wake analipwa na nani?
Polisi na TISS wanalazimisha aendelee kwa sababu ni wanufaika na haya madhila tunayoyapitiaMikopo! Nani alimwambia wananchi wanahitaji kuwagiwa fedha za mikopo, bila ujuzi?
Hakuna kipindi ambacho tutajuta, kama kinachojiita awamu ya sita
RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALhana
Hii kitu kusema Rais ndiyo ametoa hela hiki kitu kinanikera
Rais ana hela gani za kufanya hayo yote?
Maendeleo hayana script, ni Lazima ya mnufaishe kila mwanainchi kwa usawa na haki gentleman, hiyo ndiyo muhimu zaidi 🐒
Wakuu, huyu mama unazipata wapi hela anazomwaga? Atakuwa tajiri kiasi gani mpaka anamwaga mabilioni kila aendapo? Naomba kuelimishwa. Ni kama kwa sasa hakuna haja ya sirikari kuandaa bajeti. Wabunge washindane kugharaghara mbele ya mama na mama akifurahishwa wilaya zao anazimwagia mabilioni. Au siyo?RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.
Hili tumekua tukilisema mara nyingi kwamba linawaondolea wananchi mambo mengi sana ya kiuwajikaji na hasa kukwepa kwa viongozi kuwajibika lakini chawa wapuuzi na watu wasiojielewa wanaotegemea hisani ya Mheshimiwa Rais katika uteuzi wamejipa utaratibu wa hovyo wa kusema Rais ametoa wakimtanabaisha na mambo mazuri tu ya nchi hii, ila pale yanapotokea mambo ya hovyo mathalani ya ubadhirifu wa fedha za umma na mauaji wana kingia kifua kuwa hausiki.Hii kitu kusema Rais ndiyo ametoa hela hiki kitu kinanikera. Rais ana hela gani za kufanya hayo yote?
Jina lako linaonesha ulivyo hasara kwako na kwa familia yako, mbaya zaidi kwa taifa. Nisamehe kwa kufanya personal attack, but this was necessarykiongozi na kipenzi cha wa wananchi anatumia pesa za wananchi kuchochea kazi maendeleo ya wananchi nchi nzima bila mbambamba yoyote aise 🐒
Hii kitu kusema Rais ndiyo ametoa hela hiki kitu kinanikera. Rais ana hela gani za kufanya hayo yote?