Nadhani kama Taifa,Jina lako linaonesha ulivyo hasara kwako na kwa familia yako, mbaya zaidi kwa taifa. Nisamehe kwa kufanya personal attack, but this was necessary
Special zaidi ni kuhakikisha barabara za lami zinajengwa Dar es salaam na maeneo mengine nchini nzima. Na hayo ndio malengo na madhumuni ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu makini na kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan πIt's there since mwalimu Nyerere
Tunanufaika na Kodi zetu kupata maendeleo
Nothing special, au Kwa upande wako unaona Jambo gani ni special?
Katika nchi ambayo viongozi wanasifiwa kwa serikali zao kujenga barabara katika karne hii ya 21 na kusahau availability, reliability na affordability ya huduma muhimu kwa ustawi wa watu kijamii na kiuchumi, hakika hilo bado litabakia kuwa taifa maskini zaidi duniani kuanzia umaskini wa akili, umaskini wa kipato na umaskini wa vitu (material properties) Kuwa na Zahanati ya kijiji ambayo hata mtendaji anaoopa kumpeleka mtoto wake sio zahanati ni jengo kama majengo mengine and so the roads kama gharama za usafirishaji zinapaa kila siku kutokana na kupaa kwa gharama za mafuta na gesi ni dhahiri kwamba watu hawawezi kuwa mobile na shughuli zao za kiuchumi ikiwemo bidhaa na huduma. Amka acha TlaatahNadhani kama Taifa,
Hakuna hasara yoyote Dr.Samia Suluhu Hassan kupitia serikali sikivu ya CCM kujenga barabara za lami nchi nzima π
Special zaidi ni kuhakikisha barabara za lami zinajengwa Dar es salaam na maeneo mengine nchini nzima. Na hayo ndio malengo na madhumuni ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu makini na kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan π
Infact,Barabara tunalipia, ni mikopo, na sisi tunakatwa Kodi kwenye kila kitu Kwa ajili ya barabara
So hata kama inchi ingekuwa chini ya jeshi barabara zingejengwa tu
Badili, weka SERIKALI YAIDHINISHA.....hivi nyie CHAWA mnatumia ubongo au MBOJI??? kufikiri???π π€π π€RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi wameshaanza kupatikana katika baadhi ya barabara.
Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Edward Mpogolo ma kusema kuwa pia Dkt Samia amesaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo ya asilimia kumi kwenye halmashauri ya Ilala fedha ambazo zipo kwenye mzunguko ni zaidi ya Bilioni 27 na fedha zilizotengwa kwa mwaka huu ni zaidi ya Bilioni 11 na wanaenda kukaa na mama lishe kuwapatia elimu namna gani wanaweza kutumia mikopo hiyo na kurejesha.
Infact,
Barabara na huduma muhimu nyinginezo za kijamii ni kwaajili ya waTanzania wote kama ambavyo hata uhuru na haki ya kutoa maoni na mtazamo humu JF ni kwa waTanzania wote gentleman...
hakuna mbambamba yoyote kwenye hilo π