Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Mpaka naona aibu. Tunaonekana wote ni mbumbumbu kisa bakili moja
 
Nani atafungua mdomo wake kukemea anaye mpatia uji wa kila siku?
Kwa taarifa tu,

Mimi silipwi hata mia mbovu,

Mungu anajua na wewe elewa hivyo ,

Huu ni Uzalendo wangu kwa Taifa na Rais wangu ninayemwamini sana kutuvusha kama Taifa,

Nakuomba na wewe tuungane kulijenga Taifa letu kizalendo,

Sema mema ya nchi yako utabarikiwa sana
 
===
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,

Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa,

View attachment 2011443
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
basi hii dunia ni ngumu sana. yaani kwa maisha haya ya kitanzania sisi ni wa 10 africa kwa utajiri? sasa wa mwisho atakuwaje?
 
Back
Top Bottom