Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Mpaka naona aibu. Tunaonekana wote ni mbumbumbu kisa bakili moja
 
Nani atafungua mdomo wake kukemea anaye mpatia uji wa kila siku?
Kwa taarifa tu,

Mimi silipwi hata mia mbovu,

Mungu anajua na wewe elewa hivyo ,

Huu ni Uzalendo wangu kwa Taifa na Rais wangu ninayemwamini sana kutuvusha kama Taifa,

Nakuomba na wewe tuungane kulijenga Taifa letu kizalendo,

Sema mema ya nchi yako utabarikiwa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
basi hii dunia ni ngumu sana. yaani kwa maisha haya ya kitanzania sisi ni wa 10 africa kwa utajiri? sasa wa mwisho atakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…