Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

chadema kwa kuwa ni kawaida yao watakuja kupinga hapa na matusi juu
 
Tanzania imekuwa hapo tangu miaka minne iliyo pita. tena 2018 ilikuwa ya Nane. Pitia data kwanza.
 
Kwani statistics zinaliwa?
 
Utajiri huu unasaidia nini mwananchi wa kawaida? Hana maoni au maamuzi ya hii nchi na haruhusiwi kukemea uongozi
 
 
Ukienda kijijini kwangu bungurunyenye kule Ruvuma utamkuta mwanakijiji wangu anatembea akiwakoga wenzaje kifua mbele na Mita moja Kati ya mikono kisa ana baiskeli na wengine hawana
 
Tatizo wa mwazo ametuacha kwa U$411Billions, halafu tunajisifia
 
Uchumi wa makaratasi Nigeria ndio inaongoza lakini wanigeria majority ni masikini wa kutupwa ndio maana nchi hata haitawaliki
 
Kabisa yaani !



Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Soon tutaanza kugawa misaada duniani, hasa nchi masikini kama marekani n.k
Ndio maruweruwe ya mtu ghafla kujikuta BOT ni ATM yako binafsi. Unaona kila mtu duniani ni masikini na Tz inaweza kuwa donor country. Unawahisha cash Boeing watangulize order zako mbele ya za "masikini" wanaonunua kwa mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…