Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Hivi lumumba huwa hawaajiri kuanzia form one kwenda juu??
Naona hapo ya Kwanza Nigeria ina $55B alafu ya pili Ina $79B
 
Tanzania per capita income $1,080. Botswana $7,800.
 
Kuna matajiri wanazidi jumla ya top 10 ya nchi, daaaah sio mchezo
 
Biggest economy = uchumi mkubwa zaidi

Mf. Katika kijiji kimoja hapa nchini bwana Hangaya anaishi kwenye nyumba ya block yenye room moja tu, anamiliki mbuzi tatu na kuku 12, ana kibubu chenye jumla ya cash Tsh. 150,000/=. Jirani yake bwana Nyusi anaishi kwenye nyumba ya msonge iliyoezekwa kwa nyasi, anamiliki kuku 4 na bata 3, kibubu chake kina jumla ya cash 15,000/=

Je bwana Hangaya ni Tajiri?
 
Tuache kulialia kukopa kwa mabeberu.
Hatuwezi kungara hatabupakaze mafuta kivile bado hali tete.
Nyie pakueni tu mpaka mkombeleze kabisa kwenye miradi.
Eti bwawa limesimama siku 400.
Kweli inaingia akilini.!?
 
Ukitoa Deni la Taifa inabaki ngapi?
 
Huu upuuzi unasaidia nini ukoo wako ama kijijini kwako na mtaani kwako?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
huu nao n utoporo na uongo wa wazi kama pumba zingne tuu nchi gan tajir ambayo bado watoto wanakaa chin kwa maskul na maji bado shida , barabara ndo usisemeπŸ§πŸ˜­πŸ‘ΉπŸ‘Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…