CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Mwandishi uko vizuri sanaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL
Soma tenaIko vizuri Sana tu
Hasira za nini?
Wacha mama achanje mbuga wivu wa nini maendeleo ni ya Taifa sio Mama Samia
Business Insider AfricaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
DaaahNani atafungua mdomo wake kukemea anaye mpatia uji wa kila siku?
Ila wajue Tanzania imepata rais wa kihistoriachadema kwa kuwa ni kawaida yao watakuja kupinga hapa na matusi juu
Utaelewa tu
Awesome SamiaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Wewe mtu weweSi tulishaambiwa tuko kwenye Uchumi wa Kimachinga wa Kati.
Mbona takwimu za tangu mwaka jana 2020 kipindi cha JPM?Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Yuko busy kushughulikia uchumi wa TZ upae kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Kigogo yupo wapi siku hizi jamani?
Kama ulikuwa huna baiskeli na M MUNGU akakujalia kupata baiskeli leo .a lazima ushukuru na kujipongeza. Halikadhalika ukiwa unatumia kibatali miaka yote na leo ukafanikiwa kuingiza umeme wa REA , kweli ni lazima umshukuru M MUNGU na ujipongeze kwani hata watoto wako wanafunzi watapumzika na moshi wa kibatali wakisoma japo bado wakiwa katika nyumba ya nyasi.Tatizo wa mwazo ametuacha kwa U$411Billions, halafu tunajisifia
Hata mzee wangu Bakhresa Anaongoza kwa madeni Afrika. Nasikia hata Marekani inaongoza duniani kwa madeni, sijui ni kiasi gani. Ila nimeambiwa hivyo.Business Insider Africa
Markets
Leaders
Careers
Lifestyle
Local Lifestyle
Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list
EMMANUEL ABARA BENSON
November 12, 2021 10:59 AM
[https://ocdn]
Poorest countries in Africa in 2021
The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.
The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.
Out of 36 countries on the list, African countries dominate.
There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.
RECOMMENDED ARTICLES

TransportationUnited Airlines resumes serving hard liquor on flights ahead of the holiday travel season

PoliticsTrump privately conceded to Chris Christie that COVID-19 was a 'crisis' even as he publicly downplayed the risk: book

Tech-InsiderUS Navy pulls parts off an under-construction aircraft carrier to get USS Gerald R. Ford ready to deploy
Among the heavily indebted poor countries are: Ghana, TANZANIA, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.
The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manag
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Tuombe uhai tu tuyaone woteMbumbumbu 😅😆😁😄😃😀
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
DaahNani atafungua mdomo wake kukemea anaye mpatia uji wa kila siku?
100%√chadema kwa kuwa ni kawaida yao watakuja kupinga hapa na matusi juu