Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

ISRAEL JR

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
1,523
Reaction score
758
Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP

10. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ 73.8 Billion USD
9. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 77.5 Billion USD
8. Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น 105.3 Billion USD
7. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 114.6 Billion USD
6. Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด 124 Billion USD
5. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ 133 Billion USD
4. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ 193 Billion USD
3. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 426 Billion USD
2. Egypt ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ435.6 Billion USD
1. Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ520 Billion USD


[ Kidumu Chama Cha Mapinduzi ]
 
Kwahiyo wakopaji zaidi ndio matajiri ?
 
Nonsense.
 
Qatar imetumia $200bn kuanda kombe la dunia hi ni zaidi ya gdp ya nchi za Africa mashariki zote sie ni masikini kweli kweli.
 
Kwamba MUSK anachukua innji na bado anabakia na pesa nyingeniinayozidi hiyo thamani ya nchi yeti?
 
Huenda kwa nchi tuko katika kumi Afrika, ila kwa wananchi Watanzania ni maskini kuliko hata Warundi!
Inawezekana. Nigeria kwa pato lake hilo ni kubwa kuliko Switzerland, ila Wajeria wanakufa baarini wakikimbilia Ulaya. Ina maana gani?
 
Tunakopa ili tuwe matajiri.

Laana hizi wanaziweza CCM pekee
 
Tunakopa kujenga uchumi,

Deni linakua Uchumi Unakua,

Hongera Rais wangu Dkt Samia Suluhu Hassan
 

Tajiri kwa lipi? Mishahara tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ