Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

Hata Jirani Kenya ako juu.
Tuendelee kujifanganya Yale ya JoBo Yatajiri siku!!
 
Hapo mwisho ungehariri vizuri.(Kidumavu Chama Cha Mapinduzi)
 
Hatuna cha kujivunia. Katika hizo nchi zote ziluzotuzidi, ni Nigeria na Egypt tu ndizo zinazozidi population ya Tanzania.

Sisi tupo wengi sana, halafu kinchi, tunazidiwa kwa kiasi kikubwa mapato na nchi zenye watu wachache.

Hii maana yake nchi yetu ina kundi kubwa la watu maskini.
 
Hiyo bendera ya Egypt sio hiyo ni ya Iraq* ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ*
 
Huenda kwa nchi tuko katika kumi Afrika, ila kwa wananchi Watanzania ni maskini kuliko hata Warundi!
Inawezekana. Nigeria kwa pato lake hilo ni kubwa kuliko Switzerland, ila Wajeria wanakufa baarini wakikimbilia Ulaya. Ina maana gani?
Poor Leadership .
 
Na wasi wasi na hii list , waethiopia Kila siku wanakamatwa kwenye malori wanakimbilia south Africa,
Watu wa kafrika kaskazini Kila wakati wanazama kwenye boti wakielekea ulaya
 
Na wasi wasi na hii list , waethiopia Kila siku wanakamatwa kwenye malori wanakimbilia south Africa,
Watu wa kafrika kaskazini Kila wakati wanazama kwenye boti wakielekea ulaya
Hao wako hatua mbele yako, kuzamia mtumbwi au boti kuelekea ulaya inahitaji pesa na akili, hao utakuta wametusua kidogo wana nauli na ya kuanzia ulaya, wameamua kusepa kwenda kujitafutia maisha, maskini wetu wauza mihogo ya mafungu hiyo ni ndoto hawawezi hata kujaribu, wengi wa west Africa kuja US wanapitia same route wanaanzia South then wanaibukia Mexico halafu wanajiripua border ya US, ni pesa nyingi sana hiyo route na inahitaji roho ngumu, watoto laini mmezoea kuingia US na visa sio kila mtu
 

Akili za kisabuda,nawe pia eti mzazi
 
Nchi hii bas tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sipendi hivyo vitakwimu vya kipumbavu wakati nchi za Afrika ni kama jehanamu zinanuka umaskini na kukataa tamaa watu wake. Heri wasiwe wanatoa takwimu zozote za the so called ukuaji uchumi kwa nchi za kiafrika hususani za jangwa la Sahara
 
Hii GDP inamsaidia Nini mtanzania Kama uchumi wa TZ umeshikiriwa na wa Kenya, Indians na wa South Africans...?
 
Mm hadi leo nashangaa ilikuwaje tukaenda kuomba msaada Morocco wajenge kiwanja kikubwaa cha mpira??
 
Kama hela ya kukopwa inaweza kuinua uchumi wa nchi .... basi sisi ni matajiri barani Africa,
Kama ni kinyume na hapo basi sisi WaTz tutazidi kuwa maskini wakutupwa....,
 
Ninaamini South Africa ni ya kwanza ikifuatiwa na Nigeria
 
Unapotaja list ya nchi za Afrika usitumie neno list ya nchi matajiri, bali tumia maneno list ya nchi zenye nafuu ya umasikini...

Huo utajiri ungelikuwepo ungeonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ