Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #201
Kweli Mungu akusamehe sana maana naona sasa umechangayikiwa kabisaWewe waburudishe tu wajumbe huko Dodoma ila usirudi na mimba au ukimwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mungu akusamehe sana maana naona sasa umechangayikiwa kabisaWewe waburudishe tu wajumbe huko Dodoma ila usirudi na mimba au ukimwi
Ni ushauri nimekupa madamKweli Mungu akusamehe sana maana naona sasa umechangayikiwa kabisa
Hivi una wazazi? Una ndugu? Wapo hai?Ni ushauri nimekupa madam
Ninao,unataka niwatume kwenu walete posa?Hivi una wazazi? Una ndugu? Wapo hai?
Wewe unayeyajua yasemavyo ndio ukawa jinga kubwa la kusifia gagulo la maza... 😁😁Naona hata maandiko huyajua yanasema nini.
Nataka wakupeleke hospitalini upate matibabuNinao,unataka niwatume kwenu walete posa?
Wataleta posa kaa mkao wa kula. Ila uache huu upuuzi wa kusifia wanaume wengine soon utakuwa mke wa mtu,sawa sawa????Nataka wakupeleke hospitalini upate matibabu
Hiyo nayo ni habari au umevuta ugoro wenye kinyesi cha pundaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha hasira zako hapa weweHiyo nayo ni habari au umevuta ugoro wenye kinyesi cha punda
Wewe ndo unaleta UJINGA wa ku generalize vitu, Bila kufanya balancing kuangalia other factors!!👀👀🤔🤔🤔 Shame on you....🚴🚴🚴🚴Acha ujinga wako wewe.
Kaka Tanzania ni secular country, kila mtu ana uhuru wa kuvaa anachopenda. Acha upuuzi wako wewe usiye na akili. Angependeza zaidi kama angeacha kuuwa watanzania wasio na hatia, angependeza zaidi angeacha utekaji, angependeza zaidi angeacha kuingilia uhuru wa mahakama na kuwapangia majaji hukumu ili watu wasio na makosa waumizwe, angependeza zaidi iwapo angerekebisha mifumo ya afya na elimu, ili watanzania waishi maisha bora na wawe na elimu bora ili tuweze kupiga hatua za maendeleo. Hayo ni machache tu anayoweza kufanya lakini inaonekana anafurahia shida za watanzania ili tumsujudie. Hell no, rais wa ovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, yupo katika level ya Magufuli.Na wewe ukome kutupangia nguo za kuvaa, mpangie mkeo na watoto zako hao wasio na akili.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukumbi unabubujikwa na machozi wakikumbuka watu aliowateka na kuwaua bila ya hatia.Naona ukumbi wote unabubujikwa na machozi hongera sana CCM
Sasa hapa kapendeza kivipi, hizi nguo za kigaidi hatuzitaki hapa nchini na zipigwe vita mara moja. Wanaanzaga hivi hivi hawa watu, gunia hapa na pale mwisho wa siku wanafunika uso mzima mpaka na kaka zao wanavaa hivyo na kwenda kujilipua vituoni pamoja na masokoni. HATUTAKI ugaidi hapa Tanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
well said, hawa wanaoshabikia Mama avae hivi ni wanafiki tu na wasaka tonge.......never take wanasiasa seriously, ni wapuuzi tu na wachawi wakubwa.Kaka Tanzania ni secular country, kila mtu ana uhuru wa kuvaa anachopenda. Acha upuuzi wako wewe usiye na akili. Angependeza zaidi kama angeacha kuuwa watanzania wasio na hatia, angependeza zaidi angeacha utekaji, angependeza zaidi angeacha kuingilia uhuru wa mahakama na kuwapangia majaji hukumu ili watu wasio na makosa waumizwe, angependeza zaidi iwapo angerekebisha mifumo ya afya na elimu, ili watanzania waishi maisha bora na wawe na elimu bora ili tuweze kupiga hatua za maendeleo. Hayo ni machache tu anayoweza kufanya lakini inaonekana anafurahia shida za watanzania ili tumsujudie. Hell no, rais wa ovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, yupo katika level ya Magufuli.Na wewe ukome kutupangia nguo za kuvaa, mpangie mkeo na watoto zako hao wasio na akili.
Na utashangaa hakuna hata mjumbe anayemnyoshea kidole Abdul Suluhu kwa ujinga aufanyao.....tunahitaji upinzani wa ukweli hapa nchini.Ukumbi unabubujikwa na machozi wakikumbuka watu aliowateka na kuwaua bila ya hatia.
Unashangaa, mwana CCM gani ana mawazo mazuri zaidi ya kuwa chawa tu?Umefikia kusifia mishono? We jamaa ni Mbwira kweli