Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Huyu Mwashambwa badala ya kuongea issues anaongea personalities kama kupendeza, kutabasamu, anatujazia saver tu.

Anawakilisha kundi la vijana machawa ambao wanawaza kushibisha matumbo kwa manufaa binafsi badala ya taifa.

Vv
 
Hiyo nayo ni habari au umevuta ugoro wenye kinyesi cha punda
 
Kaka Tanzania ni secular country, kila mtu ana uhuru wa kuvaa anachopenda. Acha upuuzi wako wewe usiye na akili. Angependeza zaidi kama angeacha kuuwa watanzania wasio na hatia, angependeza zaidi angeacha utekaji, angependeza zaidi angeacha kuingilia uhuru wa mahakama na kuwapangia majaji hukumu ili watu wasio na makosa waumizwe, angependeza zaidi iwapo angerekebisha mifumo ya afya na elimu, ili watanzania waishi maisha bora na wawe na elimu bora ili tuweze kupiga hatua za maendeleo. Hayo ni machache tu anayoweza kufanya lakini inaonekana anafurahia shida za watanzania ili tumsujudie. Hell no, rais wa ovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, yupo katika level ya Magufuli.Na wewe ukome kutupangia nguo za kuvaa, mpangie mkeo na watoto zako hao wasio na akili.
 
Sasa hapa kapendeza kivipi, hizi nguo za kigaidi hatuzitaki hapa nchini na zipigwe vita mara moja. Wanaanzaga hivi hivi hawa watu, gunia hapa na pale mwisho wa siku wanafunika uso mzima mpaka na kaka zao wanavaa hivyo na kwenda kujilipua vituoni pamoja na masokoni. HATUTAKI ugaidi hapa Tanzania.
 
well said, hawa wanaoshabikia Mama avae hivi ni wanafiki tu na wasaka tonge.......never take wanasiasa seriously, ni wapuuzi tu na wachawi wakubwa.
 
Embu acha dharau Kwa taifa wewe dogo.
Hizo njaanjaa zako zinakupeleka vibaya hadi unakufuru sasa.
Yaani hiilo dera ndio liwe vazi la taifa?
Naamini hata hao wanawake watakukatalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…