Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Wewe tahira huna kazi?
Kutwa kumsifia Samia huku wazazi wako wakihangahika na kukosa mashamba yaliyoorwa na maliasili
 
Kweli wewe ni mjinga wa kiwango cha juu sana
 
Acha hasira zako hapa wewe
Hizo nguo amependeza? Umetumia criteria gani ndugu Mwashamba? Hizo nguo kama gunia au mifuko ya kushikizia mashine za kusaga, unasema amependeza? Hivi wewe unajua nguzo zinazopendeza? Kanzu au Dera? Hizo ni nguo?
Nani amekutuma? Wamekulipa shilingi ngapi? Just be honest!
 
Kwani sisi ni wahindi
 
Mimi sisifii bali naandika na kuongea ukweli tu
Mtu akivaa suti ya rangi ya zambarau, shati ya kijani na suruali ya njano atakuwa amependeza sana.....siyo? SAWA BWANA MWASHAMBA, TUMEKUBALI AMEPENDEZA SANA, ILA AACHE KUTEKA NA KUUA WATU WASIO NA HATIA, AU HATA KAMA WANA HATIA AACHIE MAHAKAMA ITENDE HAKI, ASIINGILIE MAHAKAMA KULETA AJENDA ZAKE.
 

 
Umefikia kusifia mishono? We jamaa ni Mbwira kweli
Nimecheka na natamani niijue maana ya mbwira! Kwamba kijana aliyesoma Kwa Kodi za watanzania anaona kwenye mkutano wa chama chenye madaraka ya kuongoza nchi ni kumsifia mtu Kwa namna alivyovaa na jinsi mshono ulivyopendeza badala ya kuzungumzia ajenda zenye matokeo chanya Kwa Taifa mathalani
1. Ukosefu wa usalama
2. Demokrasia
3. Rushwa
4. Ukosefu wa huduma Bora za afya na Bima ya afya kwa wote
5. Miundombinu duni
6. Ukosefu wa Ajira
7. Elimu isiyokidhi matakwa ya sasa kitaifa na kimataifa
8. Namna Gani rasimlimali watu na asili zinavyoweza kutumika kuleta maendeleao endelevu
9. Mabadiliko ya Tabia nchi na athari zake kiuchumi na kijamii!

Hili toto ni Mbwira kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…