Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Dada Lucy wewe umeshashona nguo kama ya Samia?
 
Tuna watu wengi wa sampuli ya Mwashambwa ndiyo maana hii nchi imebaki nyuma sana kwenye kila kitu, wanajua watu kumbe wanashindwa kununua TV ili waangalie mama Abdul alivyovaa. Aliyeleta mada anajua kuwa watanzania zaidi ya asilimia 75 hawana umeme na walio na umeme unakatikakatika halafu yeye anasherekea mama kuvaa dera za kijani? Hivi ufikiri wetu watanzania upoje, hii mada ingekuwa nchi nyingine mtoto wa miaka mitano angeidharau. Nchi hii ilikuwa na mkuu wa mkoa aliyesema Mungu amshukuru Magufuli kwa aliyoyafanya. Jamani, what do these people have in their brains?
 
Inuka na uangaze utazame namna Tanzania ilivyoendelea na kupata maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…