Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Wewe utakuwa na MAHABA na huyu Mama. Ulikuwa wapi mpaka Mwanae akaolewa kama mke mwenza....!?
 
Fala sana. Nyie ndo mnaofanya Rais atukanwe mitandaoni. Sifa za kijinga Acha Focus na kazi nzuri anazofanya kwa Tanzania.
Bata wewe
 
Kama una hasira sana basi angalia usije kufa kwa presha .ni vyema ungekunywa hata Maji ya baridi tu.
 
Mwanamme mzima unashindwa kusema agenda muhimu za kesho unabaki kusifia vazi. Kwani hujui kwamba there is a protocol ya mavazi ya top leaders.
Unasifia adi unadhihirisha ujinga ulonao kichwani
 
Kwani mpaka muda huu hujui ajenda? Kweli wewe huna akili kabisa na ni hasara kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…