Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Baada ya mkutano tunasubiri kuona uteuzi wakoNimekusamehe bure kabisa.Nenda na amani ya Bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mkutano tunasubiri kuona uteuzi wakoNimekusamehe bure kabisa.Nenda na amani ya Bwana.
Kwenye kodi tunazolipa mzee rais anavalishwa hadi za inside.Lini ulitoa pesa kwa ajili ya Mavazi ya Rais wetu?
Lini umelipa kodi na kiasi gani?Kwenye kodi tunazolipa mzee rais anavalishwa hadi za inside.
Uwe una geuza kwa nyuma karatasi za uteuzi.Baada ya mkutano tunasubiri kuona uteuzi wako
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ntatafuta demuNjoo CCM upate aman ya moyo.
Unalifahamu kanzu?
Rais Samia ni Kipenzi cha mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndio Maana anaungwa sana mkono.Nampenda Rais wangu Samia
Fala sana. Nyie ndo mnaofanya Rais atukanwe mitandaoni. Sifa za kijinga Acha Focus na kazi nzuri anazofanya kwa Tanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu acha ujinga wako hapa wewe.Wewe utakuwa na MAHABA na huyu Mama. Ulikuwa wapi mpaka Mwanae akaolewa kama mke mwenza....!?
Kama una hasira sana basi angalia usije kufa kwa presha .ni vyema ungekunywa hata Maji ya baridi tu.Fala sana. Nyie ndo mnaofanya Rais atukanwe mitandaoni. Sifa za kijinga Acha Focus na kazi nzuri anazofanya kwa Tanzania.
Bata wewe
Lini ulitoa pesa kwa ajili ya Mavazi ya Rais wetu?
100% FactRais Samia ni Kipenzi cha mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndio Maana anaungwa sana mkono.
Embu ondoa hapa ujinga wako.maisha yako yenyewe yamekushinda kwa uvivu wako .Kwani bageti yake ni hela za akina nani? Hujui kuwa tunamlisha na kumvisha pia na kumpatia makazi
Mwanamme mzima unashindwa kusema agenda muhimu za kesho unabaki kusifia vazi. Kwani hujui kwamba there is a protocol ya mavazi ya top leaders.Kama una hasira sana basi angalia usije kufa kwa presha .ni vyema ungekunywa hata Maji ya baridi tu.
Kwani mpaka muda huu hujui ajenda? Kweli wewe huna akili kabisa na ni hasara kwa Taifa letu.Mwanamme mzima unashindwa kusema agenda muhimu za kesho unabaki kusifia vazi. Kwani hujui kwamba there is a protocol ya mavazi ya top leaders.
Unasifia adi unadhihirisha ujinga ulonao kichwani
Leta mdahalo wa yanayohusika kesho. Mjadala wa nani anafaa kumrithi Kinana. Sio kusifia vazi Samia. Shobo za kishambaKwani mpaka muda huu hujui ajenda? Kweli wewe huna akili kabisa na ni hasara kwa Taifa letu.