“Tunapofanya hii kazi, twendeni tukaangalie matamshi ya vyama vya upinzani wale walikuwa wakisema lazima kiwake, hapakaliki, lazima aondoke, uchaguzi hautafanyika. Kitu gani hasa kilichowafanya kuwa vile?”
Rais Samia ameipa jukumu Tume ya uchunguzi ya masuala ya vurugu ya uchaguzi kuchunguza pia kauli za vyama vya upinzani.
emptyMama yenu hamna kitu
Na wale waliosema mkiandamana tutawachinja wao hawachunguzwi.Mboe,kigahila na kauli zao za bila mabadiliko hakuna uchaguzi wajiandae
Hahahahaha wale ni vichaa wamewapotezeaNa wale waliosema mkiandamana tutawachinja wao hawachunguzwi.
Tume Hila ya Kumhukumu Lissu baada ya Mahakama kushindwa kupata ushahidi kwa Mashahidi Fake wa PolisiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo inalenga kupata picha kamili ya chanzo cha kilichojitokeza, hususan pale viongozi wa vyama hivyo walipotoa kauli za kuchochea taharuki kama vile “lazima kiwake”, “hapakaliki”, “lazima aondoke”, “uchaguzi hautafanyika.”
Akizungumza leo jijini Dodoma, Ikulu ya Chamwino, wakati akizindua rasmi Tume Huru ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu, Samia amesema: