Hili nilisema mapema yaani tukitaka tuguse kila pande kwa haki na watu wa wajibishwe basi hii list lazima ichunguzwe hawa, kinyume chake ni ushabiki tu na kuweka hisia
1)Samia kama mkuu wa Nchi
2)Lissu/Heche viongozi wa upinzani na kwa mujibu wa kauli zao hasa kabla ya uchaguzi na bahati kuna kumbukumbu ya video/picha mjongeo za matamshi yao
3)Gwajima kwa sababu ya matamshi yake kabla ya uchaguzi
4)Wanaharakti na hasa hao wanaotokea nje na hasa Mange na Maria
Hawa ni kwa uchache ktk wengi wao wanao takiwa kuchunguzwa kwa shida hii
TEC/Bakwata nao wahusishwe na ijulikane hasa dhamira zao na ushiriki wao na hasa hasa hawa TEC nao ndo wana complicity the issue hii pia
Haya matapeli tuliyambia mapema kuhusu uchafuzi wa Oct 29 wakatupuuza saivi ndiyo akili zinakuja20 November 2025
WAKILI PETER MADELEKA KUHUSU TUME YA UCHUNGUZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZJ3DVhEfzEc
Tume inaelekeZwa cha kuchunguza halafu mnaita tume huru, kwanini hajasema wakachunguze na wanaoteka watanzania na kuwaua.?Tume inaelekezwa ikachunguze kile na hapo bado unaiita tume huru.Au ndiyo uwezo mdogo wa kushindwa kuelewa maan ya neno huru
Mkuu nimesema hapo kama uchunguzi usiwe kwa upande wa dola tu (Rais akiwa muwakilishi dola na labda hata hajatoa amri yoyote kwa lolote) na hapo kuna taasisi nyingi chini yake zinaingia na hao uliowatajaMbona umesahau na jeshi la polisi na kauli zao za vitisho?
Ukisema polisi wenu /wangu una maana ipi? Polisi ni chombo kilichopo kwa mujibu wa sheria, sasa kama unaona kuna mapungufu kwa uwepo wao sio tatizo langu ni lako na kwangu sina ufumbuzi wa tatizo lako hilombona unaangalia upande mmoja , wapo waliosema wataua watakaoandamana , je hawa tuwapuuze mpk sku wakikuua ww ?wapo waliosema watavunja watu miguu je hawa tuwapuuze mpk wakikuvunja ?
Pia za chini chini ni kuwa walioiba maduka ya watu kuanzia trh 30 ni polisi wenu maana raia walikuwa ndan