Balancing the equation
Ni aibu Kwa Mji wenye watu zaidi ya 400 kutokuwa Manispaa miaka yote.Kwani ChoiceVariable anasemaje Geita kuwa manispaa huku Njombe na Mafinga zikimbwelambwela π
hao watu zaidi ya 400k miaka yote wako wapi, hata sensa ya 2022 hawakufika watu 400k, miradi kanda ya ziwa imekuwepo kabla hata ya samia, Na manispaa zimekuwepo kanda ya ziwa kabla samia. ndani ya miaka 7 manispaa 2 zimeanzishwa kanda ya ziwa, vipi huko kwingineko zimeanzishwa ngapi ndani ya muda huo?Ni aibu Kwa Mji wenye watu zaidi ya 400 kutokuwa Manispaa miaka yote.
By the way mshukuruni Samia huko Kanda ya Ziwa maana amemwaga miradi kuliko Shujaa wenu.
Samia amewapendelea miradi kuzidi Shujaa wenu yaani angekuwa msukuma tungesema anaendelea kwao ni vile ni wa Kizimkazi.hao watu zaidi ya 400k miaka yote wako wapi, hata sensa ya 2022 hawakufika watu 400k, miradi kanda ya ziwa imekuwepo kabla hata ya samia, Na manispaa zimekuwepo kanda ya ziwa kabla samia. ndani ya miaka 7 manispaa 2 zimeanzishwa kanda ya ziwa, vipi huko kwingineko zimeanzishwa ngapi ndani ya muda huo?
Chawa buanaπππSamia amewapendelea miradi kuzidi Shujaa wenu yaani angekuwa msukuma tungesema anaendelea kwao ni vile ni wa Kizimkazi.