Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

Biashara baina ya nchi za kiafrika ni ghali kuliko Afrika na mabara mengine. Kuna ripoti nilipata kuiona bahati mbaya nimesahau title yake ningeku-cite uipitie
Ni balaaa ..ukikutana nayo Tena tupia link kwenye hii mada mkuu.......inashangaza Ila hamna jinsi
 
Wangefanya laki tano kwenda kurudi kama Rwanda kabla ya Covid walikuja na nauli ya China laki nane mpaka milion moja kwenda na kurudi walifanya sana biashara huku nauli ya SA ikiwa 250usd mpaka 300usd tatizo la atcl wao kupanga bei wanataka warudishe hela ya kununua ndege mwaka mmoja kumbe hiyo ni biashara endelevu...
 
770,000 ni Two ways
 
770k nyingi sana tunaibiwa kirahisi sana afu ukizingatia kenya sio mbali afu ni mteremko
hivi fastjet waliwezaje kwenda South Africa kwa bei ndogo ya around laki moja ..... fastjet waliwezaje kuwa na low fares.Mbona wengne wameshindwa.
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Hongera kwao maana kwa precision air hiyo ni nauli ya one way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…