Rais Samia aipongeza Yanga kwa kutinga Fainali za CAF Confederation Cup

Usisahau kuna million 20 za magoli mawili wazilete airport wakati timu inawasili, leo?
 
Yanga hongereni, hakika mnastahili kulinyakua hili kombe kwa uwekezaji mzuri mliofanya msimu huu. Hili ni fundisho tosha kwetu wanasimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…