Rais Samia aitisha na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Rais Samia aitisha na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Taarifa za muda huu kutokea ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024

Taarifa kamili tutakuletea

Mambo anayaona ya moto kwelikweli!

Anaona yanayomkuta jirani yake Ruto, yasije yakahamia hapa TZ 😀
 
Taarifa za muda huu kutokea ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024

Taarifa kamili tutakuletea

Walivyo serious sana utadhani wanajadili mambo ya maana kumbe ni namna ya kuendelea kumkamua Mtanganyika!!
 
Mwenyekiti wetu wa chama Mh Mbowe kama sio yeye bc atatuletea mtu sahihi na sisi wanachama tutamuunga mkono.
Hivi wewe nyumbu unaakili kweli kwaiyo yeye mbowe ndo atuletee Rais watanzania labda awaletee Rais wa mioyo yenu inamaana nyie huko viongozi mnaletewa sio mnawachagua?
 
Back
Top Bottom