Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwanini wewe na mumeo msiwe wapinzani imara?Inategemea unadefine vipi akili ila kwa bara hakuna uchaguzi CCM alishindwa hata uwe huru namna gani (except for 2015 napo kwa mbaaali sana) ila kwa sababu sisi wapinzani hatuna roho ya kuridhika kulalamika ni jadi yetu hatuwezi kubali.
Kuwa maarufu kwenye vimiji viwili vitatu hakukufanyi ushinde urais wa Tanzania nzima japo kuna mazonge mazonge mengi ila hakuna upinzani imara mpaka unchallenged CCM