Rais Samia aitisha na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Rais Samia aitisha na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Kwa mfano Ruto alipovunja baraza la mawaziri na kuwatwua tena wale wale je hiyo utasema walifukuzwa? Huko ni kumbadili unafukuzwa ikiwa umemsikiliza mtu na hukukubaliana na utetezi wake na ukasema nakufukuza lakini hii discretional power watu hawafukuzwi bali wanabadilishwa tu
Sawa, lakini asipopachikwa kwenye portfolio nyingine inakuwa kafanywaje?
 
CHADEMA mkikaza kidogo 2025 mnachukua nchi, wananchi wamechoshwa na huyu maza
Tangu nianze kutumia jf sijawahi kuona rais yeyote akisemwa vizuri humu yaani kila muhula ni Chadema watachukua nchi ila uchaguzi ukija ni CCM mitano tena
 
Tangu nianze kutumia jf sijawahi kuona rais yeyote akisemwa vizuri humu yaani kila muhula ni Chadema watachukua nchi ila uchaguzi ukija ni CCM mitano tena
Tangu 2005 lini CCM imewahi kushinda tena kwa haki? kuwa mkweli kama kweli una akili timamu
 
Tangu 2005 lini CCM imewahi kushinda tena kwa haki? kuwa mkweli kama kweli una akili timamu
Inategemea unadefine vipi akili ila kwa bara hakuna uchaguzi CCM alishindwa hata uwe huru namna gani (except for 2015 napo kwa mbaaali sana) ila kwa sababu sisi wapinzani hatuna roho ya kuridhika kulalamika ni jadi yetu hatuwezi kubali.
Kuwa maarufu kwenye vimiji viwili vitatu hakukufanyi ushinde urais wa Tanzania nzima japo kuna mazonge mazonge mengi ila hakuna upinzani imara mpaka unchallenged CCM
 
Back
Top Bottom