Rais Samia akagua Daraja la Kigongo-Busisi Mkoani Mwanza, leo Juni 14, 2023

Rais Samia akagua Daraja la Kigongo-Busisi Mkoani Mwanza, leo Juni 14, 2023

Huenda Magufuli alikuwa sahihi kwenda na watumishi wa umma jino kwa jino. Uso mkavu kuwawekea mawe wakiweka ugoko. Kwa ziara hii ya Rais Samia maeneo ya Buhongwa nimethibitisha watumishi wengi wa umma ni wapuuzi na wasio stahili huruma wanapozingua.

Kwa muda mrefu sana eneo la Buhongwa lina shida sana ya maji hali inayopelekea raia kuishi kwa mgao wa kikatili sana. Maji yanatoka Jtatu na Ijumaa, ukiacha tu kwamba ni upuuzi kwa eneo lolote la jiji kuwa na mgao wa huduma muhimu kama maji ila pia hata huo mgao bado haueleweki maana kuna kipindi maji hayaeleweki ratiba kabisa maana inaweza kufika j3 au ijumaa maji yasitoke kwahiyo mkakaa hata 2 weeks bila maji.

Cha kushangaza toka Rais Samia aingie Mwanza maji yanatoka tena kwa presha nzuri toka jumatatu. Kumbe Mwauwasa wana resources na miundombinu ya kuwezesha maji kutoka kila siku bila mgao ila ni basi tu hawajishughulishi. Hivi kwa mwendo huu meneja wa mwauwasa hapaswi kuliwa kichwa. Kweli kabisa huduma ya maji inategemea ratiba ya Rais wa nchi? Rest easy JPM binafsi nimekusamehe kwa kuwala vichwa wapuuzi wote waliokuwa wanakaa ofisi za umma bila kutimiza majukumu yao.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.

​

View attachment 2656937
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.
View attachment 2656938
View attachment 2656939

Ilo daraja si lipo ziwa Victoria, kwa mkataba wa hawa Warabu wakitaka nalo wanachukua
 
Mama Mkwe wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Samia.

Mama ake na Mama Janeth baada ya kumuona Rais Samia alifurahi sana na kumuombea heri na baraka kuwa yeye ni alama ya upendo na ustawi wa Taifa letu.

Bibi Jesca ameliomba Taifa na kumuombea Rais Samia na kusema chini ya Rais Samia ni Mama wa Taifa na lipo salama.
Amen.
 
Dalali kazini, linathaminishwa Sultan aanziwe shilingi ngapi.
 
Hana cha kupoteza urais kapata bure anauza tu rasilimali za Tanganyika
 
Back
Top Bottom