Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Amepatikana muuzaji. Marehemu alikopa kuijrnga bandari, Samia ameona bandari ipo kwenye mwonekano mzuri wa kuwavutia wanaotaka kuipora.SAWA!hii NDIO MAANA ya KAZI iendelee!!
MAREHEM alikua na wasi wasi sana kama atapatikana mwingine atakaesimamia haya!naona kapatikana kabisa!!
Mungu IBARIKI TANZANIA!!