Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,768 Reaction score 49,949 Jun 14, 2023 #41 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: SAWA!hii NDIO MAANA ya KAZI iendelee!! MAREHEM alikua na wasi wasi sana kama atapatikana mwingine atakaesimamia haya!naona kapatikana kabisa!! Mungu IBARIKI TANZANIA!! Click to expand... Amepatikana muuzaji. Marehemu alikopa kuijrnga bandari, Samia ameona bandari ipo kwenye mwonekano mzuri wa kuwavutia wanaotaka kuipora.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: SAWA!hii NDIO MAANA ya KAZI iendelee!! MAREHEM alikua na wasi wasi sana kama atapatikana mwingine atakaesimamia haya!naona kapatikana kabisa!! Mungu IBARIKI TANZANIA!! Click to expand... Amepatikana muuzaji. Marehemu alikopa kuijrnga bandari, Samia ameona bandari ipo kwenye mwonekano mzuri wa kuwavutia wanaotaka kuipora.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 10,004 Reaction score 21,312 Jun 14, 2023 #42 Bams said: Amepatikana muuzaji. Marehemu alikopa kuijrnga bandari, Samia ameona bandari ipo kwenye mwonekano mzuri wa kuwavutia wanaotaka kuipora. Click to expand... Uporaji wote una Baraka za wenye nchi tangu awamu zote zilizopita!! Unafikiri kama uporaji hauna Baraka za hao NANI angesimama!!? Tunywe maji tu kwakweli
Bams said: Amepatikana muuzaji. Marehemu alikopa kuijrnga bandari, Samia ameona bandari ipo kwenye mwonekano mzuri wa kuwavutia wanaotaka kuipora. Click to expand... Uporaji wote una Baraka za wenye nchi tangu awamu zote zilizopita!! Unafikiri kama uporaji hauna Baraka za hao NANI angesimama!!? Tunywe maji tu kwakweli