upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 418
- 550
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa.
Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika hili "Mama hana deni"
Aidha, Moja ya wanafunzi amemuhaidi Rais Samia kuwa atapata ufaulu wa Divisheni 1 pointi tatu kidato cha sita kwa juhudi alizozionyesha Rais Samia kwao.