Aje ikitokea Kero ya Mwananchi ni huyo mbunge mwenyewe, itafika kwa rais?Sahihi kabisa, utaratibu wa Rais kusikiliza shida za mtu mmoja mmoja barabarani haufai
Na unaweza kuta hadi huyo Mbunge Mama alisha muona lakini labda msaada wa Mbunge ni mdogo sana kwa Mama,na unaweza kuta Mbunge wake ndiyo alimshauri shida yake ni Rais pekee ndiyo ataweza itatua na ndiyo maana Mama akaamua kujitosa kwenye Kadamnasi! Na utaweza kuta Mama anasumbuliwa na maswala ya kudhulumiwa Mirathi tu! Mi kulikua na kesi moja Mpelelezi wa kesi mwenyewe akanishauri niende nikalalamike kwa Katibu Mkuu Office ya Rais, baada ya kuona kuna figusi kama wakubwa zake wamesha settle na watuhumiwa ndiyo maana Jalada haliendi mbele lime stack kwenye meza zao,na yeye mpelelezi kimamlaka hawezi waauliza "Wakuu vp mbona mzigo hausongi mbele"!!??Naona haikuwa sahihi. Kumuona Mbunge ili kumueleza kero ni ngumu sana. Na hata kufikisha kero kwa wasaidizi wa Mh Raisi wanaweza wasifikishe hizo kero kwa Raisi. Ingekuwa ni jambo la hekima kumsikiliza huyo mtu hapo Barabarani.
Mmeanza ujinga wenu. Sasa m unge ana kazi Gani? Tofautisha udictator na uongozi unafuata sheria na miongozo sahihi. Jpm alikuwa mtu wa mizuka tu ikipanda anaamua chochote bila kujali impact yake. Ndo mana midege yake inakamatwa kila Leo Samia anasawazisha kwa uongozi thabiti.Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Kwamba katiba inakataza Rais kumsikiliza Raia mmoja?Ili iweje? Rais hawezi kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja, na hata akisikiliza hawezi kufanya maamuzi hapo kwa hapo, maana inawezekana huyo mwananchi akawa anapotosha pia. Kama yule mama wa Tanga alivyompotosha Magufuli
Mbunge. Mkuu wa mkoa. Mkuu wa wilaya. Diwani.Anasimama barabarani kusalimia, au kutoa majibu ya matatizo aliyopewa na kuhusu hilo eneo na mbunge wao... Ndio maana ya representative democracy
Utaratibu wa mbunge kuwasilisha hoja unafanyika barabarani eti?Wananchi nao wanataka kuona na kusikia mbunge wao akiwasilisha kero Kwa Serikali ndio maana alisimama
Huko kwengine nako amesema kaziba masikio na case zengine kachagua kukaa kumya.Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Popote pale inapobidi hususani wakiwepo viongozi wakuu wa NchiUtaratibu wa mbunge kuwasilisha hoja unafanyika barabarani eti?
Nchi haitakiwi kuendeshwa kienyeji hivyoHapo alisema naagiza ma RC wote nchi kusghulikia matatizo yote yanayofanana na la Mwananchi huyu mara Moja na masuala mengine ambayo ni kero kwa Wananchi. Mchezo ungisha kiukaini!
Haya maneno yanatamkwa na wewe YodaUmechanganyikiwa
Kwanini sasa alisimamisha msafara? Rais wa sasa anajaribu sana kuiga style ya aliyemtangulia lakini wakati huo huo akiwa hapendi.Sahihi kabisa, utaratibu wa Rais kusikiliza shida za mtu mmoja mmoja barabarani haufai
Kwahiyo amepewa kazi asiyowwza kutatua changamoto zakeMoja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Naunga mkono hojaUongozi Huwa ni karama.
Huyu SAMIA , ni kama tu Mwijaku, alale aamke aamue ajiunge na CCM ili mambo yake yawe sawa, kuongea ongea Mara paa anapewa UDC .
Hamna kiongozi humo
DPW inamtesa sana.....hana majibu anajua CUF wamejaa huko hataweza kuwajibuUongozi Huwa ni karama.
Huyu SAMIA , ni kama tu Mwijaku, alale aamke aamue ajiunge na CCM ili mambo yake yawe sawa, kuongea ongea Mara paa anapewa UDC .
Hamna kiongozi humo