Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Kama hataki kusikiliza kero zao, hiyo ziara yake itawasidia nini. Ndio tatizo la kuwapa nafasi watu wenye uwezo mdogo wakuchanganua Mambo wao binafsi.
 
Fikiria unamsimamisha rais wa nchi nusu saa kusikiliza kesi ya madai au kiwanja. Hiyo si sawa kuna mfumo wa kushughulikia kila tatizo.
 
Fikiria unamsimamisha rais wa nchi nusu saa kusikiliza kesi ya madai au kiwanja. Hiyo si sawa kuna mfumo wa kushughulikia kila tatizo.
Means wahusika hawafikishi malalamiko panapo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…