Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

She is just no interested! with your challenges my dear! You die silently when you have this person calling herself a leader in place. Alisimamisha msafara kufanya nini!!???
 
Isomeke alisimamisha msafara wake kuwapa ujumbe wananchi na sio kuzungumza na wananchi maana kama angekuwa anataka kuzungumza nao hakukuwa na haja ya kumpotezea huyo raia asitoe dukuduku lake.

#Tumepigwa
 
Kilichomsimamisha njiani ni nini kama sio mataizo binafsi ya wananchi? Kwanini ana sima simama njiani ikiwa anaogopa maswali? Kwanini ana simama simama?
Shida mnayopata ni kutaka afanye kama ambavyo Mwendazake alikuwa anafanya, kitu ambacho ni swala binafsi

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ni hopeless person and can not share love and hope to people. Leaders are meant change things and offer immediate solutions to issues. Hopefully ako low sharpness kwenye brain
Kwani lengo la Mwendazake kutaka kuwe na viongozi wa chama kimoja tu kuanzia balozi mpaka Rais, na hatimaye ipo hivyo, sasa leo unataka mwananchi aulize swali gani ilhali walio chini pia wa Ccm, unataka atoe maamuzi ya kukisema vbaya chama!? Mwendazake aliharibu sana nchi hii

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Au kama anaona Tanzania ni kubwa arudi kwao Zanzibar akaongoze wachache. Au Tz igawanywe, kanda ya ziwa iwe taifa linalijitegemea. Kwa kifupi huyu ni rais wa matajiri. Maskini watasubiri sana.

Kwa mfano hapo angekuwa ni rostam au tajiri fulani ana hoja yake binafsi, angeacha kumsikiliza?
Kwahyo swala la bandari na Ngorongoro limeisha, sasa mpo na Rais wa Matajiri. Kaazi kweli kweli

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Wabunge gani kwanza wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi?
 
She is just no interested! with your challenges my dear! You die silently when you have this person calling herself a leader in place. Alisimamisha msafara kufanya nini!!???
Mbaya zaidi hatambui majira na nyakati.
ANa upinzani mzito kuanzia chamqni kwake hadi uponzani lakini hastuki.
 
Ataondolewa kirahisi kuliko anavyofikiri! Mkwe kule tamisemi wanamtengenezea mkakati!
 
Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Yakitaifa yapi sasa anayoshughulikia? Maana mambo yakujenga mashule, madaraja, mahospital haya ni mambo ya kawaida yanayofanywa na bajeti, ila kuna mambo yanayogusa wananchi wote kila siku yanaibuka na hayatatui hata kwa kauli tu, mambo kama umeme, bei ya vyakula, mafuta na mengine yapo tu yanatesa wananchi kila siku.
 
Ataondolewa kirahisi kuliko anavyofikiri! Mkwe kule tamisemi wanamtengenezea mkakati!
Nilikuwa namheshimu sana mkqe lkn naye ameanza kukurupuka na kuongea utumbo.
Samia bora akifikisha 2025 akqlee wajukuu kwa amqni kuliko fedheha ya uchaguzi w 2025 hali itakuwa ngumu na hana kifua cha kuhimili.

Akishinda kwa kutumia dola bado ni tatizo, ccm watamsumbua sana sana wakijua ndio kipindi chake cha mwisho na hana madhara kwao mbeleni.

Ukweli ni kwamba hakubaliki wala haheahimiwi na ccm wenzake basi tu wameinama kusubiria muda mwafaka kumsulubu
 
Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Angepaswa asikilize huenda alikuwa na jambo nyeti
 
Huwezi kuongoza nchi kubwa kama Tanzania kwa mfumo wa Rais kusikiliza matatizo binafsi ya watu nchi ikasonga mbele.

Wenzetu wanaojua maana ya Rais, waziri mbunge inapofanyika town Hall meeting watu wanauliza, wanatoa malalamiko yao mapendekezo kwa masuala ya mtaa, mji, jimbo au taifa. Sio malalimiko ya umenyang'anywa kiwanja na tajiri au umefukuzwa kazini ambayo ni masuala ya polisi na mahakama.
Anayetakiwa kuweka hizo taratibu na hiyo mifumo ikae vizuri ni nani kama sio yeye kiongozi wa nchi. Kwahiyo kama hajafanya ni sawa kwa wananchi kumuuliza shida zao. Vingine hata yeye atakuwa hana ulazima wa kuongea na wananchi barabarani.
 
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Kwa hiyo naye unataka afuate nyayo zake. Kila kitu na wakati wake.
 
Back
Top Bottom