Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikuwa bukoba nilikuwemoKuna pahala pengine (sikumbuki ni wapi). Aliamuru mwananchi awekwe ndani baada ya jiwe kutwangwa na changamoto ngumu.
Jiwe alikuwa siyo mtu. Afe tena huko alaliko.
Ilikuwa maigizo tu Mama angu haikuwa wazee wala niniDalili za moyo kukata tamaa.
Hivi wale wazee wa ule moshi wa wakati ule ni kweli wote walikimbilia malawi?
haujumiwi anajihujumu mwenyewe mimi naona huyu mama hatagombea 2025 kaishachoka sanaTatizo ni wasaidizi wa rais. Inakuwaje hawajutafuta hizo info mapema. Clip kama hizi zitammaliza rais Dkt Samia 2025. Maana kauli ka hiyo inaonesha ukaidi. Jamani hakika Dkt Samia anahujumiwa.
Napata wap moyo wamkuchagua mtu ambaye hawezi sikiliza changamoto zangu?Ulitaka apite yeye mwenyewe nyumba kwa nyumba kuomba kura??
Changamoto zako mpelekee mbunge wako, diwani au mwenyekiti wa kijiji.Napata wap moyo wamkuchagua mtu ambaye hawezi sikiliza changamoto zangu?
Umejuaje swali alilokuwa anataka kuuliza. Kuna muda inabidi Raisi awe humble tu kusikiliza kero za wananchi direct hasa anapokiwa na msafara kama hapo. Kuna cases nyingine huwa watu wanahangaika na kudhulumiwa haki zao, chance kama hiyo ndio anaona tatizo lake litapata suluhu.Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Hapo alipo hajui kama yeye ni raisiYeye ni Rais wa nchi gani?
Sawa mkiwa mnatafuta kura hizo shida zenu za kura muwaambie ambao mnasikilizaChangamoto zako mpelekee mbunge wako, diwani au mwenyekiti wa kijiji.
Late President of United Republic of Tanzania Dr &Prof John Pombe MagufuliMtanikumbuka
I don't support her regine, ila kwa hilo amefanya sahihi. hatakiwi kuwa yule mtu anasikiliza kila mwananchi, halafu anajikuta amefanya maamuzi ya haraka kwa kusukumwa na kadamnasi ya watu bila kusikiliza upande wa pili, au niseme tu hatakiwi kuwa kama magufuli aliyekuwa anatoa hukumu bila uchunguzi tena mbele za watu.Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
kilichomsimamisha hapo ni nini kama hataki kusikiliza watu?? amalize muda wake aondoke hatumtaki huyu mwarabu kokoRais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Mbunge naye anaweza kataa akasema akamueleze shida zake mwenyekiti wa kijiji. Huwenda kero ya huyo mwananchi inasababishwa na huyo huyo mbunge wao.Sasa pale kasimama kufanya nini!?....kama anajua Mbunge yupo, why bother kusimama barabarani kusikiliza kero za wananchi?...mimi naamini kuna wananchi wameshazunguka ngazi za chini na hawapati msaada, Kiongozi wa nchi akisikiliza hizo special cases,anaweza kutoa msukumo mwananch asaidiwe.
Hata kwa katiba hii ya sasa yapo ambayo kwa nafasi yake Rais bado hawezi kutoa uamuzi.Kuna watu ambao haki zao ziliminywa kwa kila kitu na walijaribu kufuata kila hatua lakini hawakusikilizwa kupitia hizi safari za mtangulizi wa nafasi hiyo, wapo wengi walipata haki yao katika kitu ambacho kote ilishindikana.
Ni uamuzi wake kama ilivyo kwako wewe na wengineo kukubali ama kukataa utaratibu huo.
Ila kwa upande wangu naona ni sawa tu, ukisikiliza wananchi wawili au watatu sio mbaya, kama nchi ambayo kupata nafasi hiyo adhimu ambayo ni adimu sana kuipata sidhani kama kuna kitu ambacho kwa nafasi yake hawezi kutoa uamuzi.
Kama ni kero binafsi anaweza kwenda polisi au mahakamani, kama ni kero ya wananchi wengi mwenyekiti wao wa mtaa, kijiji au diwani ndio mtu sahihi.Mbunge naye anaweza kataa akasema akamueleze shida zake mwenyekiti wa kijiji. Huwenda kero ya huyo mwananchi inasababishwa na huyo huyo mbunge wao.