Rais Samia: Akiba yetu ya dhahabu ni tani 27.5 yenye thamani ya Trilioni 10. Hapa tulipofika si haba

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

"Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa dhahabu ya ndani. Hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, kama alivyosema mwenyewe Gavana, akiba yetu—rasilimali yetu ya dhahabu tuliyoikusanya—ni tani 27.5, yenye thamani ya shilingi trilioni 10 za Kitanzania. Hapa tulipofika, si haba.

Kuanzia sifuri, na ndani ya miezi mingapi? Mwaka... mwaka mmoja na nusu, tuna tani 27,000 (ishirini na saba) na huenda tukawapita wale walioanza kabla ya sisi ndani ya bara letu la Afrika. Huu ni mfano mzuri wa kutumia rasilimali za ndani kuimarisha uthabiti wa kifedha wa taifa letu."

Pia soma: BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia
 
Kuna hao wadada wawili hapo naona wanamcheka baada ya kusema Tani elfu ishirini na saba.

Muwe mnampigisha rehearsal kidogo kuondoa hizi aibu ndogo ndogo
 
Tani 27 zilikusanywa na marehemu na sio yy. Hapo yy kaongeza Tani 0.5 tu. Huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

"Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa dhahabu ya ndani. Hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, kama alivyosema mwenyewe Gavana, akiba yetu—rasilimali yetu ya dhahabu tuliyoikusanya—ni tani 27.5, yenye thamani ya shilingi trilioni 10 za Kitanzania. Hapa tulipofika, si haba.

Kuanzia sifuri, na ndani ya miezi mingapi? Mwaka... mwaka mmoja na nusu, tuna tani 27,000 (ishirini na saba) na huenda tukawapita wale walioanza kabla ya sisi ndani ya bara letu la Afrika. Huu ni mfano mzuri wa kutumia rasilimali za ndani kuimarisha uthabiti wa kifedha wa taifa letu."

Pia soma: BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia
Ni tani elfu ishirini na saba (27,000)au tani 27(ishirini na saba)?
 
Uwezo mdogo kuchanganua mambo tatizo

Kongele sana kwa hatua hiyo...Ila sisi doubting Thomas tunauliza cooper iko kiasi gani? Maana dhahabu ya hayati Mrema enzi zile, walitokea kina Alchemy wakabadilisha ikawa copper
 
Back
Top Bottom