Yes Iko sawaTANI 27 KWA TRILION 10?
Kuna hao wadada wawili hapo naona wanamcheka baada ya kusema Tani elfu ishirini na saba.Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
"Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa dhahabu ya ndani. Hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, kama alivyosema mwenyewe Gavana, akiba yetu—rasilimali yetu ya dhahabu tuliyoikusanya—ni tani 27.5, yenye thamani ya shilingi trilioni 10 za Kitanzania. Hapa tulipofika, si haba.
Kuanzia sifuri, na ndani ya miezi mingapi? Mwaka... mwaka mmoja na nusu, tuna tani 27,000 (ishirini na saba) na huenda tukawapita wale walioanza kabla ya sisi ndani ya bara letu la Afrika. Huu ni mfano mzuri wa kutumia rasilimali za ndani kuimarisha uthabiti wa kifedha wa taifa letu."
Pia soma: BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia
Ni sawa maana kilo moja ni kama Tzs.360m.TANI 27 KWA TRILION 10?
Kilo Elfu ishirini na Saba ni sawa na Tani 27.Yes Iko sawa
Sema Maza Kama kawaida akapuyanga Tena anasema Tani elfu ishirini na saba badala ya kusema kilo elfu ishirini na saba
Inaonyesha somo la metric lilimpiga chenga , linapokuja swala la numbers lazima apuyange
TANI 27 KWA TRILION 10?
Ndio Sasa yeye kasema Tani elfu ishirini na saba, msikilize Tena.Kilo Elfu ishirini na Saba ni sawa na Tani 27.
Sio lazima na wewe umpendeNi Samia. Siyo Rais Samia.
Fuk the bitch.
Ni tani elfu ishirini na saba (27,000)au tani 27(ishirini na saba)?Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
"Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa dhahabu ya ndani. Hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, kama alivyosema mwenyewe Gavana, akiba yetu—rasilimali yetu ya dhahabu tuliyoikusanya—ni tani 27.5, yenye thamani ya shilingi trilioni 10 za Kitanzania. Hapa tulipofika, si haba.
Kuanzia sifuri, na ndani ya miezi mingapi? Mwaka... mwaka mmoja na nusu, tuna tani 27,000 (ishirini na saba) na huenda tukawapita wale walioanza kabla ya sisi ndani ya bara letu la Afrika. Huu ni mfano mzuri wa kutumia rasilimali za ndani kuimarisha uthabiti wa kifedha wa taifa letu."
Pia soma: BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia
Mkuu nina kama kilo na nusu soko lipo wapi?!Ni sawa maana kilo moja ni kama Tzs.360m.
Ni Tani 27.5 ...........Metric is not reachable 😀Ni tani elfu ishirini na saba (27,000)au tani 27(ishirini na saba)?
Kwa hiyo aliandika kwa kujikoseshakosesha ili tuingie kingi?Aache uzumbukuku.Ni Tani 27.5 ...........Metric is not reachable 😀
Marehemu JPM na yeye wanatoka vyama tofauti?. Hizi chuki zinatutesa sana.Tani 27 zilikusanywa na marehemu na sio yy. Hapo yy kaongeza Tani 0.5 tu. Huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
Uwezo mdogo kuchanganua mambo tatizo