Rais Samia: Akiba yetu ya dhahabu ni tani 27.5 yenye thamani ya Trilioni 10. Hapa tulipofika si haba

Khaaa kazi sanaa ....naota tuje kupata Rahisi mzaalendoʻoo kufukua makaburinii amen
 
Zanzibar ina madini?
Au ndo cha Tanganyika cha wote...??
 
Tani 27 zilikusanywa na marehemu na sio yy. Hapo yy kaongeza Tani 0.5 tu. Huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Marehemu hakukusanya hata kilo moja kwa kuwa kanuni za BOT kununua dhahabu zimeandikwa mwaka 2023 nanununuzi ukaanza Desemba 2023 au 2024 mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…