Rais Samia Akicheza Mchezo wa Bao Pamoja na Kuwaenzi Mashujaa wetu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi.

Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa unyenyekevu, huruma, upendo,staha, Busara, hekima,utu, uungwana na ukarimu wa hali ya juu sana. Ndio Sababu tunaendelea kuishi kwa pamoja kama Taifa huku tukipiga hatua za maendeleo kwa kasi .

Mama yetu hana ubaguzi wala udini wala ukabila wala ukanda .yeye ni mtu wa watu wote na mlezi wa watu wote. Ndio maana amefanikiwa kukaa mezani na kila mtu na kila kundi na kila dhehebu na kila dini na kila watu kufanya mazungumzo na kumsikiliza kila mtu kwa unyenyekevu,upole na usikivu wa hali ya juu sana.

Ukimchukia huyu Mama basi utakuwa na chuki zako tu binafsi kwa kusumbuliwa na Udini au ukabila au ukanda au jinsia au roho mbaya tu.

Kwa hakika Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana
Screenshot_20240923-170837_1.jpg
Screenshot_20240923-170911_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongoz...
Pesa Yako unaipata kwa kuuza nafsi. Hakika utawataabisha watoto na wahujumu zako kwa hizi laana unazokusanya kwa kuuza utu na nafsi kwa shetani. Utalipwa tu.
 
Ukimuona mama mwambie naomba gemu nimgade nikimgada anipe mtandio wake
 
Mbona unaji
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi.

Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa unyenyekevu, huruma, upendo,staha, Busara, hekima,utu, uungwana na ukarimu wa hali ya juu sana. Ndio Sababu tunaendelea kuishi kwa pamoja kama Taifa huku tukipiga hatua za maendeleo kwa kasi .

Mama yetu hana ubaguzi wala udini wala ukabila wala ukanda .yeye ni mtu wa watu wote na mlezi wa watu wote. Ndio maana amefanikiwa kukaa mezani na kila mtu na kila kundi na kila dhehebu na kila dini na kila watu kufanya mazungumzo na kumsikiliza kila mtu kwa unyenyekevu,upole na usikivu wa hali ya juu sana.

Ukimchukia huyu Mama basi utakuwa na chuki zako tu binafsi kwa kusumbuliwa na Udini au ukabila au ukanda au jinsia au roho mbaya tu.

Kwa hakika Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sanaView attachment 3104396View attachment 3104397

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni Kama unajitambulisha sana
 
So what? Sisi tunajua ni kiongozi wa watekaji na muua wapinzani.
Toa ujinga wako hapa wewe. Umetoka huko uvunguni na kuja hapa kuanza kuropoka ropoka tu.si ulisema utaandamana? Mbona hujapeleka pua yako barabarani?
 
Akicheza au akitazama jinsi mchezo huo unavyochezwa? (Kwenye hiyo picha)
 
Back
Top Bottom