Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
KwakweliWamefanya la maana kumleta siku ya tarehe tatu maana wangemleta 77 angejuta.Maana wakombozi tutaichukua nchi kwa nguvu
Kwani Ansari maninja Hawaii? Ninaaleji na bunduki.Wanabodi,
Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na mwenyeji wake Rais Samia
View: https://www.youtube.com/live/BwolWtk3Pic?si=0OqojeaBb40YFJad
Karibuni.
Paskali
Kwa kawaida mgeni ndiye anafungua kumpa heshima, kulikoni mgeni amekuwa mtazamaji!Wanabodi,
Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na mwenyeji wake Rais Samia
View: https://www.youtube.com/live/BwolWtk3Pic?si=0OqojeaBb40YFJad
Karibuni.
Paskali
Akitoka hapo anaenda kutoa order ya kuua watanzania wenzetu, she is very good at killing innocent Tanzanians.
Huyu mzee angekuwa mzee wangu.. siku ya maziko tungemdunga na gunzi nyuma...alale nalo milele!
Fala tu huyo anafikiri kumtukana Rais wetu watamuongeza vyeo huko US.Mkuu
Vp Tena Hiyo Lugha Yako Mbona Imekosa Staha
Ondoa hiyo abbr ya Doctorkila la kheri Rais wa Msumbiji Mh.Daniel Francisco Chapo.
well done Dr Samia Suluhu Hassan kuimarisha mazingira na kukuza biashara za kimataifa, Tanzania π₯
jikite kwenye hoja bila chuki binafsi gentleman πOndoa hiyo abbr ya Doctor
Samia yupo mpaka 2030 Mungu akipenda. Mjitokeze kupiga kura, mkileta fujo mtashughulikiwa vilivyo.Nipelekee salaam zangu kwa huyo Iblis wa Kizimkazi. Muambie her fvcking days are numbered!