Rais Samia akifungua maonesho ya 50 ya Sabasaba akiwa na Rais wa Msumbiji

Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Uelewa wa kinachofanyika tatizo letu wananchi, rahisi sana kuingizwa kwenye mkenge wa kupotoshwa.

Ukiwa na uelewa mdogo unaweza kutekwa na hoja za kina Mange na Maria, japo siku zote hujaa uchochezi mtupu.
Ndiyo maana nasema huko ni kufilisika kifikra. Mtu anaishi Tanzania na kuona yanayojiri kwa macho yake wewe unatuambia anategemea kuambiwa na Mange?

Nani anasubiri kuambiwa na Mange kwamba Serikali inateka na kupoteza watu wanaoikosoa? Hata mtoto mdogo analijua hilo!
 
Samia anafanya mengi sisi humu mitandaoni tunaangalia sehemu ndogo sana tena katika mtazamo hasi.

Vijana wanashikiwa akili lakini sura sio moyo, JPM alikuwa mkali na hakuficha kile anachokiwaza. Walimuona mwanamama anavaa ushungi wakamletea uduwanzi, cha moto wamekiona.
 
Utter nonsense!

Kiongozi akishashindwa kuheshimu sanctity of life, there’s no compensating act!
 
Back
Top Bottom