Rais Samia akifungua maonesho ya 50 ya Sabasaba akiwa na Rais wa Msumbiji

Rais Samia akifungua maonesho ya 50 ya Sabasaba akiwa na Rais wa Msumbiji

Zero aura!

Damu za October 29 zimekataa kutambua haramu.

Damu zilitokana na Pepo chafu la Chuki zenušŸ«ŽšŸ‘ˆ

Kwasasa wanaotakiwa kuwajibika ni Viongozi waliousika kudanganya watoto wetu kwenda kupambana na wenye mitutušŸ‘ˆ

na kuwapa kibwagizo Eti vyombo vya Usalama vipo pamoja nanyumbušŸ«ŽšŸ«ŽšŸ«Ž 😄😄

tunashangaaa mchana kweupe bila aibu yoyote mnataka kumbebesha zigo lenu mtu mwengine kabisa!!!!

Waliondaaa izo fujo šŸ‘ˆ
na walioshawishi vijana kujitokeza ndio wenye hatia mbele za MUNGU ā—ļø
mbaya zaidi wamewaacha Watoto wao wamejifisha sehemu salama mbwa koko šŸ•šŸ• šŸ«ŽšŸ«ŽšŸ«Ž
 
Mtashughulikiwa ikiwa hamtaki kutumia fursa nyingi zilizopo kujiletea maendeleo ya maisha yenu wenyewe.

Mkiamua kuwatumikia hao wanaowatuma na kuwalipa tambueni kwamba hamtaachwa salama.
Sisi hatufugwi kama ng’ombe wa mama. Tuna kazi zetu na uwezo wa kuendesha maisha yetu without sacrificing our dignity or compromising our principles!
 
Pengine umelewa na PEPO chafu la chuki dhidi ya Rais Samia šŸ‘ˆ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania šŸ‘ˆ

unaweza kuweka ushahidi wowote Rais akitoa Agizo kama ilo???šŸ‘ˆ
1001370966.jpg
 
kila la kheri Rais wa Msumbiji Mh.Daniel Francisco Chapo.

well done Dr Samia Suluhu Hassan kuimarisha mazingira na kukuza biashara za kimataifa, Tanzania šŸ”„

kuna kipindi nilisikia muslims walitaka kuliuza hilo eneo la saba saba na kuligeuza fremu, mliishia wapi? ...
 
kuna kipindi nilisikia muslims walitaka kuliuza hilo eneo la saba saba na kuligeuza fremu, mliishia wapi? ...
nawaombea msamaha kwa Mungu waliokupotosha na kupiga kamba kuhusu hilo,

na nakuombea Neema na Baraka za Mungu zikufumbue macho na maskio yako ya kiroho kisiasa, kijamii na kiuchumi, ili uendelee kutambua na kupuuza uzushi, uongo na porojo zingine za kipotoshaji kama hizo na itapendeza zaidi,

okay gentleman šŸ’
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom